well said, wenye masikio na wasikie ! Ubarikiwe sanaaisee, ni mchaga tena huyu!!!!!???? Nilichojifunza kwa wachaga ni kwamba hata kama utaona kuwa hawaelewani kati ya mke na mume then utumie fursa hiyo kumpata mke wake. Nakuambia akifahamu tu ni lazima akumalize. Wachaga wana wivu sana na wake zao, hata wakiachana kwa talaka au kutengana huwa wanaume wale hawafurahi sana wakisikia kuwa mke yule ana mwanaume mwingine. Nimeshuhudia incidence nyingi za hawa jamaa, hata kama hawakuua lakini huwa ni lazima mwanaume upate vitisho au kufanyiwa visa. Sasa huyu sijui huyo dada mtu ndiye aliyesababisha wawili hao kukosana au? Maana dada mtu kauwa na dereva na anayedhaniwa kuwa mchumba kajeruhiwa. Nafikiri alitaka awamalize wote akaona sasa atakamatwa akaamua kujimaliza. Rest in peace shemeji na dereva, na wewe muuaji mungu anajua atakapokupumzisha!!!! Tujitahidi hata kama unampenda mwanamke/mwanaume kiasi gani, kuachana kunauma ila jua kuwa wanawake/wanaume are like buses, you missed one, you get another (the next) one. Why killing yourself? Huyu jamaa anabiashara ya magari, siamini kama vihela havimtembelei, achana naye, wako wanawake wengine wazuri tu. Na mwanamke au mwanaume akianza kukudengulia jua kuwa hata mkifunga ndoa hamtaishi au kudumu. Bora dalili za kuachana zionekane mapema na kila mtu achukue ustaarabu wake.
Yeah ni mambo ya Wivu wa kimapenzi.
itv wametangaza pia.
turudi kwenye issue ya kapuya ndio habari ya mujini kwa sasa
hapo kwenye blue ndipo wengi wanaposhindwa kukubaliana napo,mie binafsi nilishaachwa na mwanamke niliempenda sana, tena wakati ananiacha mimi nilikua kwenye peak kabisa, i was almost crazy lakini nilipiga moyo konde siku zikaja siku zikaenda hatimaye nikasahau na nimempata mwingine ambae tuna mtoto mmoja sasa na ninafurahia maisha km zamani hivyo cha muhimu kwa vijana na wadogo zetu ni kukubaliana na hali halisi, km amekukataa achana nae though inauma sana kiukweli, jipange utapata mwingine tu cuz wanawake wamejaa tele humu duniani.Aisee, ni mchaga tena huyu!!!!!???? Nilichojifunza kwa wachaga ni kwamba hata kama utaona kuwa hawaelewani kati ya mke na mume then utumie fursa hiyo kumpata mke wake. Nakuambia akifahamu tu ni lazima akumalize. Wachaga wana wivu sana na wake zao, hata wakiachana kwa talaka au kutengana huwa wanaume wale hawafurahi sana wakisikia kuwa mke yule ana mwanaume mwingine. Nimeshuhudia incidence nyingi za hawa jamaa, hata kama hawakuua lakini huwa ni lazima mwanaume upate vitisho au kufanyiwa visa. Sasa huyu sijui huyo dada mtu ndiye aliyesababisha wawili hao kukosana au? Maana dada mtu kauwa na dereva na anayedhaniwa kuwa mchumba kajeruhiwa. Nafikiri alitaka awamalize wote akaona sasa atakamatwa akaamua kujimaliza. Rest in peace shemeji na dereva, na wewe muuaji Mungu anajua atakapokupumzisha!!!! Tujitahidi hata kama unampenda mwanamke/mwanaume kiasi gani, kuachana kunauma ila jua kuwa wanawake/wanaume are like buses, you missed one, you get another (the next) one. Why killing yourself? huyu jamaa anabiashara ya magari, siamini kama vihela havimtembelei, achana naye, wako wanawake wengine wazuri tu. Na mwanamke au mwanaume akianza kukudengulia jua kuwa hata mkifunga ndoa hamtaishi au kudumu. Bora dalili za kuachana zionekane mapema na kila mtu achukue ustaarabu wake.
kwani mtu akikufanya kitega uchumi ndio umuue na kujiua.....its simple kudeal na mtu huyo_ni kumnyima misaada na kumtema mazima then...life goes on....sema nyie watoto mliosoma academy na st..mary's mna uwezo mdogo sana kuhimili mikiki..mikiki ya maisha....get it..?
kapuya anajitaidi kupangua hoja kwa ustadi mkubwa anaweza akashinda hii mechi jamaa
Nadhani atakuwa anatoka kule kwa mazuzu yanayolima msimu mzima halafu mavuno wanayatumia kwa ajili ya ngoma na wengi wao miguu imeenda kushoto kwa kushambuliwa na funza.
JAMAA ALIYETWANGA WA RISASI NI WAKULE KULE NI "GABRIEL MUNIS" na MPENZIWE NI "CHRISTINA NONDO" AKIENDESHWA NA DEREVA FRANCIS SAMUEL
WEWE sisi hatujiui kijinga hivyo!!Spirit ya kiarabu hii " IF YOU HURT ME, I KILL YOU AND I KILL MYSELF"
Munissi???
Nimepita, ngoja nikapate updates za Kapuya.
WEWE sisi hatujiui kijinga hivyo!!
well said, wenye masikio na wasikie ! Ubarikiwe sana
Teheteh!itv wametangaza pia.
turudi kwenye issue ya kapuya ndio habari ya mujini kwa sasa