Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar



ukupiga hata tupicha tuwili tutatu na sisi tujionee jamani
 
asilimia fulani ya Watanzania hatuna furaha kuna ka ukweli kwenye utafiti huu uliowahi kufanywa na taasisi fulani huko siku za nyuma™
 
Hebu tuwekeeni jina la huyo jamaa_asije kuwa mbiga mbwia unga kaua watu bila sababu...hapa namaanisha wivu wa mapenzi kama ndio sababu ya kuua watu ni ujinga....sema ilala wengi ni waarabu na jamii zao..pambafuuuuu

ukupiga hata tupicha tuwili tutatu na sisi tujionee jamani

jamani sikutaka kuwajua majina wala hata kupiga picha nilitimua mbio as nisije na mie nikakumbwa zahama.

picha niliyoipata pale si kuna klabu ya wazee sijui???...................inawezekana huyu muuaji alikauwa kasha walia mingle marehem wake.
that was westgate experience to me
 

Ngoja niende hapo kupata supu,.....then will come back.
 
Aaanh majanga hayaishi!!!!?????

Mungu atunusuru sana na haya,umiliki wa silaha unahitaji stability ya hali ya juu sana unapopatwa na maudhi,haswa yanayoambatana na "DHARAU" maana huwa nguvu yake ya mwisho ili kuonesha yeye sio mnyonge huishia on trigger!!!!!!!!

MUNGU ATUNUSURU SANA!!!!!!
 
muuaji atakuwa mtu wa kule milimaniiiiii

unamaanisha morogoro au kule kwa waliochagua kuwekewa lami badala ya umeme miaka ile alafu wakawa wanatembea peku pekua ili lami yao isichafuke??!!!!
 
Ngoja niende hapo kupata supu,.....then will come back.

mmh!! tena uende pale??
yaani mimi hata staki kupita karibu na eneo hilo mwaka huu wote yaani ungekuwepo kojo ungelimwaga
 
Watu wanatumia silaha zao kama manati...
 
Kuna member humu simkumbuki jina alisema akifanya kama alichofanya mushi tusishangae. Sijui ameshatenda yake??
 
usikute ni mbinu ya kapuya kutuhamisha kwenye ile single yake iliyohit.
 
Mfanyabiashara wa magari wa mwanza amemuua dada wa mchumba wake na yeye kujimaliza,kisa wivu wa mapenzi na kumjeruhi mchumbake,na mtu mwingine,. Source radio wapo na Masau bwire.

Daah RIP Gabriel Munisi
 
mie leo nimeogopa acha kabisa hata akili haijanikaa sawa nikasema najutaa kwenda boma asbh ya leo.
nimeamua kurudi ofcn hata kazi siwez kufanya kwa nilichokiona leo, tena bhana ni mita chache tu toka benk ya crdb

Ni zaidii ya movie!pole mwaya muombe mungu izo image zkutoke kichwani!maana waweza jikuta unascream ucku!
 
mmh!! tena uende pale??
yaani mimi hata staki kupita karibu na eneo hilo mwaka huu wote yaani ungekuwepo kojo ungelimwaga

Umeni_rate down,...katukio kadogo kama hako ka watu wattatu kuana hakanishtui kihivyo,...i.e mimi sio mtu hivyo_dunia inanijua hata mimi ninajijua,...sasa ngoja niende nikapate full story then will let you know.
 
Mfanyabiashara wa magari wa mwanza amemuua dada wa mchumba wake na yeye kujimaliza,kisa wivu wa mapenzi na kumjeruhi mchumbake,na mtu mwingine,. Source radio wapo na Masau bwire.

Yale yale ya U4 Saro!
 
kama ni wivu wa kimapenzi ni sawa kabisa maana hawa watu waliotoka ubavuni kwetu wanatuona sisi kama vitega uchumi vyao vile

kwani mtu akikufanya kitega uchumi ndio umuue na kujiua.....its simple kudeal na mtu huyo_ni kumnyima misaada na kumtema mazima then...life goes on....sema nyie watoto mliosoma academy na st..mary's mna uwezo mdogo sana kuhimili mikiki..mikiki ya maisha....get it..?
 
Mhhh mjini kila nyumba ina namba!usicheze na kila mtu huezi jua nani anamiliki mguu wa kuku!polen waliopata hilo janga!!ebooo mie napita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…