Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Vijana wanapotea kwa sababu akili zao zipo kwenye mapenzi hawafikirii zaidi ya mapenzi ya siku hizi ni mapenzi ya uongo hayan ukweli kabisa watamalizika wengi kwa ujinga wao kuendekeza wivu wakupindukia kupita kiasi mapenzi gani ya kupigana risasi?mzizi mkavu,vijana wetu wanapotea,sina hata cha kukomenti,n'way,am not online
Mimi sipendi kulazimisha Mapenzi naSawa tu,bado wewe uliyekuwa unaishi ulaya sasa ulikuja na kodi za kuchanga!!me jamaa namfeel sana mtu mpaka ujitoe sio mchezo mtu anakuwa kakuchafua mbaya,
Nakubali unachosema,ila kaka unapenda mtu akudharau na umemsomesha?isome story vizuri tu halafu ufikirie kama wewe,na kaka unakuwa umejinyima kipindi chote.hebu ifikirie kaka unipe jibuVijana wanapotea kwa sababu akili zao zipo kwenye mapenzi hawafikirii zaidi ya mapenzi ya siku hizi ni mapenzi ya uongo hayan ukweli kabisa watamalizika wengi kwa ujinga wao kuendekeza wivu wakupindukia kupita kiasi mapenzi gani ya kupigana risasi?
Mimi sipendi kulazimisha Mapenzi na
ninamuomba Mungu anilinde nisifike hatua kama ya huyo kijana aliye amuwa kuuwa na yeye mwenyewe kujiuwa kuna faida
gani ya kuuwa na wewe mwenyewe kujiiuwa? Kama mwanamke wako au mke wako au Mpenzi wako hakutaki muache tafuta
Mwanamke mwengine wako wengi wapenzi wa kike na wa kiume. Mpenzi wako akikuona wewe ni wa nini wengine wanasema
watakupata lini.Mapenzi ya kulazimishana mimi huwa siyapendi kabisa nikiwa na mpenzi wangu au mke wangu huwa
ninamuambia ukweli ikiwa unaona mimi sifai kuwa mpenzi wako au mume wako niambie ukweli nikuache ukatafute unaye mpenda. Bora kutokuwa na mpenzi kuliko kuwa na mpenzi mwenye mauzi.
Nakubali unachosema,ila kaka unapenda mtu akudharau na umemsomesha?isome story vizuri tu halafu ufikirie kama wewe,na kaka unakuwa umejinyima kipindi chote.hebu ifikirie kaka unipe jibu
Kweli kabisa mkuu Ncholas! Kupenda sana napo mara nyingi kunamfanya mtu awe kama ZUZU, haoni wala hasikii la kuambiwa!
Ila tusiwanyoshee mademu tu kidole katika hili, maana.......kuna wanaume wengine huvumiliwa sana na mademu wakati wakiwa na hali mbaya kiuchumi, ili tukizipata tu ankara....tunawatosa, kisha tunatufata wengine wakutumia nao!
Ok naona umenisoma vizuri hapo kaka,mapenzi wengine wengi tu wapo si ukitoka nje tu hapo tunawaona,sasa ile kitu inaitwa dharau hapo kwa kweli,nitakunyuka risasi msee,kaka yalishanikuta kaka acha,mtu analeta na dharau,weee hiyo mpaka kesho nilimuapia...kwa comment yako. basi tatizo sio wivu wala mapenzi, ni Dharau/dhurma au whatever you may call it mradi isiwe mapenzi...
ni kweli kumsomesha mwanamke ni issue, dodgo gharama zote huko Uturuki halafu anambulia matusi toka kwa mwanamke? afadhali nioe golkipa, yaani full time wife! mambo ya kusomesha wanawake ni mauti tu......[jb/QUOTE]
Sawa kabisa, lakini sio kuuwa, haisaidii lolote. mi naona hiyo ni tatizo la kutojiamini tu. mwanaume wa ukweli ujiue kisa demu, and then? haya ona sasa, demu kabaki soon atasahau na maisha yataendelea.
poleni wanaume wenzangu mnaojiua kwa ajili ya mapenzi.
hebu niulize, hivi hao mnaowaonea wivu sana ndo huwa wapenzi wenu wa kwanza? au ni nini huwafanya mdhani bila wao hakuna maisha?
Sipendi mpenziNakubali unachosema,ila kaka unapenda mtu akudharau na umemsomesha?isome story vizuri tu halafu ufikirie kama wewe,na kaka unakuwa umejinyima kipindi chote.hebu ifikirie kaka unipe jibu
Pepo la subiani toka, pepo la mapenzi toka, toka,!
Nasema tooooookaaa, achilia watanzania wasife tokaaaa
Mkuu Jerrymsigwa, nimecheka sana kwa kweli.
Mkuu hawa watu wanakuwa na temporal psychatric attack ambayo kiroho tunaita pepo. Hata wewe aweza kukupata
Ni matumaini yangu kwamba halitanipata kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Nazareth.
Sawa kaka nakubaliana na wewe yote umeambiwa alikuwa anasomesha mtoto Uturuki sio pesa ya madafu hiyo kaka ni dollars,halafu anarudi analeta dharau,wallah labda binadamu tuko tofauti sijui,ila mimi kama simtandiki risasi angepata majibu mengine tu.Sipendi mpenzi
wangu anidharauna wala sitochukuwa hatuwa za kipumbavu eti kumuuwa mpenzi wangu na yule niliyemkamta na mpenzi
wangu. Mimi huwa ninamuambia kabisa mpenzi wangu au mke wangu kama amekwisha choka kuishi na mimi bora aniambie
kila mtu aangalie maisha yake. Sio tena mambo ya dharau mimi sitopenda kumuonyesha mpenzi wangu dharau wala sitopenda
yeye pia kunionyesha mimi mambo ya dharau. Mapenzi ni kusikilizana na kuelewana sio mambo ya mapenzi kuvutana kwa nguvu
kitu muhimu kwenye mapenzi ni uaminifu . Kama Hakuna Uaminifu hakuna hapo Mapenzi.