hahahahhaaaaaaa!kweli mkuu!Siku hizi mtu kama huna bastola usimfadhili demu...
Dah! Pole kwa ulichokiona. Nasikia ni yale ya dizaini ya kina ufoo.jamani msisikie hii habari nimeishuhudia kwaq macho imetisha sana nilijua ni yale ya westgate.
mimi mnataka kujua sababu ni nini hasa