Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

muuaji ni huyo kaka mwenye shati jeupe la strips na yy sijui alipata wapi ujasiri alijipiga risasi ya chini ya kidevu

aisee yaani alikuwa amedhamiria kabisa kuua

Huogopi kutembelea sehemu wanazokuja watu waliuokata tama na maisha? Maana mpaka kuu you have to have it up to your neck. Naogopa hizi pistol ambazo leo kila Rogojins anabeba.
 




Kwanini nyinyi mujiitao ati ndo "Mods",hamtumii haki humu mtandaoni-JF!?...mbona hamjali hata kuzidi kupoteza/kuhatarisha credibility yenu,na pia biashara yenu!?

Kwanini mnafuta na kufunga threads khasa pale mnapoona jamaa zenu wamezidiwa kwa hoja nzito!? Dah!

Sisi wengine hatuna kabisa haja hata ya kuchangia hayo mambo ya huyo jamaa ajiitae "Afande Sele"...yaani nyinyi Mods mnachekesha mno,mnafikiri hiyo ndo khabar kweli muhimu kuweka hapo "Jukwaa la Siasa"!?

Khalaf,huyo "Afande Sele",yaani ndo nani jamani,mbona sijawahi kumsikia tangia nimezaliwa wandugu!? Dah!

Sasa hivi hiyo ni thread/s ya pili,within only a couple of days,yaani mnafuta baada ya kuona ndugu zenu wanazidiwa/wamezidiwa!?

Yale materials/majambo tuliyoandika...kwanini munayaogopa!? Mnaficha nini hapo nchini na kwa maslahi ya nani!?

Where is the freedom speech/freedom of expression!?...
mbona jamaa zetu mwataka kuturejesha kulekule "enzi za Mwalimu"!?

Tafadhalini wandugu Mods; rejesheni ile thread alofungua "Yericko Nyerere" na kudai ati ametishiwa kuuwawa na Mbunge Zitto Kabwe...mle ndanimwe (kwenye ile thread mliyoifunga!) pana khabar/ujumbe mzito mno na muhimu,twataka Watanzania woote wausome!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz,Kahtaan,CHAMVIGA,THE BIG SHOW
 
Hivi hizi silaha watu wanaazimana au zinatolewa kwa kufuata taratibu?
Wapumzike kwa amani marehemu na hao majeruhi wapate nafuu ya haraka

Siraha zinatoka Burundi Congo na nchi zenye vita Kama Somari Uganda nk watu wanajibebea huko na kuja kumaliza watu
 
Angalia picha ya jamaa waliokuwa kwenye tukio ilala
 

Attachments

  • picha ilala.jpg
    56.1 KB · Views: 772
Mapenzi yamekuwa Majanga mapenzi yanaleta Ukimwi mapenzi yanaleta watoto wa Mitaani mapenzi yameleta Njaa kwa familia za wenye wake(wazinzi) ziachunwa Sababu ni mapenzi Haya Haya yanayoleta uhasamama wivu Majanga lukuki Kama hayaa
 
Mweeh kwani uku jf hamna sehem ya kupeleka malalamiko?? Unatukatisha stim
 
mapenzi!! mapenzi!! kama hujawahi kupenda bora uspende kabisa maisha yako yote!!
 
habari hii ya jukwaa la siasa? au lina uhusiana na sakata linalovuma mujini?
 
jamani msisikie hii habari nimeishuhudia kwaq macho imetisha sana nilijua ni yale ya westgate.

mimi mnataka kujua sababu ni nini hasa


Mapenzi ndiyo chanzo yote haya! Chezea mapenzi wewe gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa askari jamii walipotea?
Voda fasta kazibyaobkukamata bodax2
 
Mapenzi yamekuwa Majanga mapenzi yanaleta Ukimwi mapenzi yanaleta watoto wa Mitaani mapenzi yameleta Njaa kwa familia za wenye wake(wazinzi) ziachunwa Sababu ni mapenzi Haya Haya yanayoleta uhasamama wivu Majanga lukuki Kama hayaa
Na yamekuleta wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…