Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

mpaka dakika hii cjajua kisa na mkasa wala sielewi cjui shemeji cjui nini ah
 

Inawezekana kulikuwa na matukio mawili? we unazungumzia ilala boma, wakati mleta uzi anasema ni Bungoni.
 
safi kabisa taifa linahitaji vijana wengi wenye vipaji vya kulenga kama hawa
 
Dah majanga siku hizi kutoana roho imekuwa kama kusalimiana
 
what is the reason behind this death jamani
 
Wabongo ndo tulivyo mkuu yaani kila mmoja hujidai shuhuda yaani full maudaku tu.
 
Watu watatu,wameuwawa maeneo ya ilala bungoni kwa risasi.
Ilikuwa ni kama sinema ambapo alitokea kijana mmoja akashuka kwenye tex huku kashika bastola, alienda katika geti lililo karibu na hotei mpya ya M.M na kujibanza, gafla geti lilifunguliwa na gari kutoka ndani likiwa na watu wa nne, wanawake 3 na dereva mmoja mwanaume. Jamaa akiwa kajibanza alianza kushambulia ile gari na kuwaua watu wawili dereva na mwanamke mmoja na kuwajeruhi wengine wawili na kisha yeye kijipiga risasi na kufa hapo hapo.

Imeelezwa kuwa kati ya waliojeruhiwa ni mama mzazi na huyo msichana alieuliwa, pia msichana ni mdogo wake (hivyo wote ni mama na watoto wake wawili) ila mwanaume aliekuwa anaendesha gari hajajulikana alikuwa ni nani..

Imeelezwa kuwa yalikuwa ni mambo ya kimapenzi!
 

Attachments

  • dereva_5c89e.png
    122.1 KB · Views: 1,666
  • muuaji_d7c7a.png
    119.5 KB · Views: 1,618
mungu mkubwa..hata shetan aliko huko anashangaaa tu..asema hayo sio yake
 

Hapana ni hivi.
Katika hali ya kushtua, Watu wawili wamekufa kwa kupigwa risasi, Huku wengine wawili wakijeruhiwa, Chanzo cha habari kimeeleza kuwa aliyekufa ni, Ndugu wa mpenzi wa muuaji ambapo pia muuaji alijipiga risasi na kufa papo hapo.
Taarifa za kiitelijensia zinasema"" Aliyefanya mauaji hayo na kisha kujiua"" A
 


Barubaru,

Yaani hawa Mods wenu humu nadhani hawapendi asilan kuambiwa kweli na wako biased pita kiasi kwa kikundi/members fulani humu! Dah!

Yaani mpaka ile thread aloanzisha yule kanjanja wao Yeriko Yohana Msambila ya kudai ati "anatishiwa" kuuliwa na Mbunge Zitto Kabwe...pia wameifuta/wameifungia! Duh! Yaani hawa Mods kwa sasa wanachosha mno!

Ahsanta.
 
jamani msisikie hii habari nimeishuhudia kwaq macho imetisha sana nilijua ni yale ya westgate.

mimi mnataka kujua sababu ni nini hasa
vipi ulipata kujiri eneo la tukio????
 
yote haya ni kwa sababu dunia inaelekea mwisho. Binadamu wa leo haridhiki hata kidogo, hata ungemtendea nn hataridhika. Leo pesa ndio iko juu ya kila kitu silaha zinauzwa kwa yeyote sababu ya pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…