Mauaji ya visasi

Hii naikumbuka
 
nimekusoma ambiere
 
Imagine unamwachia wife hela ili wanao wapate lishe safi. Lakini kila siku wanafakamia wali maharage.... Kumbe hela anampelekea mdogo wake Mshana Jr ili amchakate papuchi vizuri....

Mauaji mengine sio dhambi kabisa
Huna nguvu za kiume sababu ya stress za kumuwaza mwenda zake lazima mdogo wake mshana akuchapie tu
 
Shukrani mkuu! Itabidi sasa ukafanye editing kule juu!
Nimeangalia sijakosea


Dhambi ya tatu ni mauaji, ambayo asili yake ni choyo na wivu, pale Kaini alipofanya uchoyo wa kutoa sadaka iliyonona na matokeo yake ikakataliwa.. Ya mdogo wake Abel ilipokelewa na ndipo roho ya chuki ilipomuingia Kaini na kuamua kumuua mdogo wake kwa mama. Adam hakuwa babayake wa damu.
 
Basi nilisoma vibaya!
 
HV mkuu mtu akiuwa au kuona mauaji je unaweza kukaha muda wote had kufa pasipo kujulikana Kama ulihusika na Jambo fln au itafika muda mtu kufa kabla ya matendo yake kuwa adharani ?

Inonesha kuwa kila tukio la mauwaji halipiti. Hvhv tu bill kujulikana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni ngumu mno kuficha kifo maana damu ya mtu ina uhai na ina harufu mbaya
 
Msamehe tu ukiweza
Hapana, hapa nilipo nina mshughulikia kiroho kwanza, maana alitumia hela, alitumia maneno na akatumia uchawi.. Hatokaa akaishi kwa amani hatofurahia maisha yake kwa siku alizobakiza hapa duniani.. Kuna watu wana roho mbaya sana, Yesu alimkataza Petro kutumia upanga kwa majira yale ila kuna mda wa kutumia upanga, neno linasema ukipigwa huku geuzia huku, lazima umuoneshe adui upande wako wa pili
 
Sina neno zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…