mauaji ya ujambazi kariakoo

vinana! Ha ha haaaa.

unafurahiya kwa kuuliwa wasomali, ama kweli wewe hufai hata kidogo. Sijui una dini gani au imani gani. Mungu akusamehe kwani hujui ufanyalo. Wasomali ni wanadamu wenzetu na ni ndugu zetu, waafrica wenzetu. Wanaishi nasi vizuri nasi, sio kama wahindi au wazungu. Inasikitisha sana kushirikian kwenye forum hii na mtu kama wewe. You are inhuman
 

Eti huyu ndio Rama Jangili? kuna member humu JF alimpost
 
tatizo pesa zilizookolewa zitarudishwa zilipoibwa au polisi watasema tumeokoa pesa lakini jambazi jingine lilirusha risasi na kukimbia na pesa hizo. huku chemba polisi wanagawana ulaji. ndio zao hao.
 
:confused2::confused2::confused2::confused2:

Na jambazi liko hai?

Mkuu majambazi wa ukweli hawauawi.. Ukicikia Police wameua jambazi Mkuu baci ujue raia mwema ameingia kwenye 18 zao wakammaliza.. Hawa majambazi wa kweli ndio wanapanga nao mipago Always..

Omba Mungu atuweke hai baada ya miaka 4 hivi Mtafute huyu jambazi pamoja na mauaji aliyoyafanya utamkuta nje..
 

Hilo lijambazi linaitwa rama na alipo serchiwa kwake vimepatikana vitu vingi alivoviiba soo dats y nikasema nendeni mkatizame kama mumeibiwa
 
hapa kuna stori mbili za rama jangili na majambazi wa kkoo haya huyo mwengine polisi watuambie atakufa lini maana huwa lao moja hawa..
 
Record ya Mahita na Tibaigana imeanza kujirudia rudia maana Enzi za Utawala wao ndani ya Jeshi la Polisi, Wizi na Mauwaji ya Mchana Mchana vilikithiri.R.I.P Jambazi.
 
:confused2::confused2::confused2::confused2:

Na jambazi liko hai?

Kwa habari za mtaani inasemekana ni TOTO la kiongozi mmoja mkubwa mstaafu; ndio maana BADO LIKO HAI

Hata mijambazi ina God Fathers! Tanzania ikionesha tena madudu yake! Na kama kweli ni mwana wa mkubwa ets keep our ears open (japo tutasahaulishwa na tukio jingine-kama kawaida-na kusahau JAMBAZI Rama!).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…