ni vema akahojiwa na kutoa mwanga wa kukamata majambazi wengine, kosa la kuua jambazi kwenye eneo la tukio mara nyingi ni kukosa taarifa muimu. Ukumbuke kuwa hata majambazi mwenzao akijeruhiwa wanamuua ili asije toa siri:confused2::confused2::confused2::confused2:
na jambazi liko hai?
Ahsante kwa tarifa mkuu, ila kama jambazi kakamatwa akiwa hai basi hakuwa na hela....!
Watu wawili raia wakisomali wameuawa na majambazi walikuwa wanaelekea bank kupeleka hela ila jambazi mmoja amekamatwa ndio huyo. Kama mtu unajua uliibiwa chochote nenda pale polisi kawe (karibu na Tanganyika packers). Wamekamata vitu vingi kwenye nyumba ya huyu jamaa (Rama Jangili) aliyekua anafanya wizi huu… Magari pia yamekutwa… mwenye taarifa hii amjulishe na mwenzie…
Lets hope hao Wasomali walikuwa raia wema na sio Vinana. RIP to them
Lets hope hao Wasomali walikuwa raia wema na sio Vinana. RIP to them
Watu wawili raia wa-Kisomali wameuawa na majambazi walikuwa wanaelekea bank kupeleka hela ila jambazi mmoja amekamatwa ndio huyo. Kama mtu unajua uliibiwa chochote nenda pale polisi kawe (karibu na Tanganyika packers).
Wamekamata vitu vingi kwenye nyumba ya huyu jamaa (Rama Jangili) aliyekua anafanya wizi huu Magari pia yamekutwa mwenye taarifa hii amjulishe na mwenzie