Deva
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 1,238
- 1,819
- Thread starter
- #81
Asante sana mkuu, mimi ninahisi endapo wasingekuwa wamemshikilia ingekuwa story nyingine tena, ila ninaamini hata nisipofanya kitu mimi hatobaki salama.Pole sana, nikivivaa viatu vyako hata siwezi, mtoto wangu anaushika moyo wangu kumuua ni sawa na kuniua Mimi, walai nasema haijalishi huko maabusu nitakulipa tu na naweza kwenda mbali zaidi.
Issue yako wapo wasomaji humu ambao wanasimamia mamlaka husika, ungetaja tu majina, pengine ungepata msaada zaidi hata wakurudishiwa hela yako.