Mtoto hana hata mwezi unamgawa ? Utalala usingizi kabisa ?Duuh mwili umesisimka, pole sana Mungu atakujaalia utabarikiwa wengine.
Jamaa hamlewi hiyo milioni anadaiwa ya nini. Mchawi namba moja ni baba wa mama mtoto, yaani mtoto wa wiki tatu akalelewe na baba peke yake?Sasa mkuu umeishia njiani. Walitaka milioni 1 ya nini hasa? Uliwamalizia? Yule mama uliyemshuku mliishiana vipi?
Tumetofautiana mioyo unaanzaje kumgawa mtoto wa siku 20 yaani siwezi, huyo mama kachangia kifo cha mwanae labda angebaki nae yasingetokea.Mtoto hana hata mwezi unamgawa ? Utalala usingizi kabisa ?
Miss Natafuta, kuna wanawake wengine ni wachawi kabisa wao na baba zao, yaani unamgawa mtoto wa wiki3?Mtoto hana hata mwezi unamgawa ? Utalala usingizi kabisa ?
Kweli mpenzi wangu kuwa mchawi sio lazima uwe na vibuyu. Kweli kachanga hako unakatoa unadunda tu kitaa kweli? Halafu akifa unalia na kudai hela.alimuua siku ile alipomgawa kwa watuMiss Natafuta, kuna wanawake wengine ni wachawi kabisa wao na baba zao, yaani unamgawa mtoto wa wiki3?
Week tatu hata macho hayajafunguka maskini ni kachanga kabisa yaani daahTumetofautiana mioyo unaanzaje kumgawa mtoto wa siku 20 yaani siwezi, huyo mama kachangia kifo cha mwanae labda angebaki nae yasingetokea.