Deva
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 1,238
- 1,819
- Thread starter
- #41
Asante sana mkuu nipo najaribu kuganga yajayo japo bado maana hata mwezi haujaisha sasa.Duuh! Pole sana Mkuu. Kwa kuwa moyo wako umekukataza na kuona kulipiza kisasi ni kumkosea Mungu basi endelea hivyo hivyo.
Ganga yajayo Mkuu kwani kulizungumzia jambo hadharani kiasi hiki ni moja ya kuutua mzigo ambao ulikuwa umeubeba.
Hivyo endelea na maisha mengine pia inabidi uamini ipo siku utapata mtoto mwingine.
