Mauaji ya Kutisha Tarime

Mauaji ya Kutisha Tarime

Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
 
Hii ya tarime lazima watamkamata kwani haihusiki na chadema
 
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
usimtukane mwenzio nikweli chagonja ni mzigo mimi mwenyewe nimemwona hata kuongea tu anahema je akikutana na huyo muuaji itakuwaje??
 
usimtukane mwenzio nikweli chagonja ni mzigo mimi mwenyewe nimemwona hata kuongea tu anahema je akikutana na huyo muuaji itakuwaje??

Sio chagonja tu bali mfumo wote wa kipolisi hivi ni matukio mangapi yapo unsolved mpaka sasa.
 
kwani ya arusha angemuliza mwuingulu ndiye aliye toka china na kofia ya majeshi ya china
 
hii filamu inatisha polisi watoe ushirikiano wa kutosha na wa dhati kwa wananchi wa tarime na sio kuzunguka na magari ya ffu barabarani kwa fujo mjini huku muuaji akifanya mauaji maeneo ya pembeni mwa mji wa tarime
 
kwani ya arusha angemuliza mwuingulu ndiye aliye toka china na kofia ya majeshi ya china
kweni unafikiri hawajui watakuambia si kazi rahisi kumtafuta mtu usiemjua hebu tuwaulize waliomuua kamanda balo walikuwa wanawajua waliwezaje kuwatafuta na kuwakamata?? inamaana hata yule alietajwa na ulimboka hawamjui?? msitufanye ndizi tunaakili.
 
Kwa nini RPC Tarime aendelee kukalia ofisi wakati Wameweka Kanda MAALUMU YA KIPOLISI Tarime na Rorya wakati bado watu wetu wanauawa migodini na sasa huyo Jambazi katokea wapi wakati mji wetu ume jaa polisi kila kona?
 
:angry: Abramovic watu wamepoteza ndugu zao na wengine kujeruhiwa. Tarime kuna ukanda maalum wa kipolisi..Bado wanampeleka huyo mzigo wao, alafu unaongea kwa kejeli kama umetoka kupigwa kaba.....!:angry:

Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu Arusha ccm ndio ilhusika name Chagonja ni MTU wao unadhani atawatosa...

Na anaaandaliwa kuwa balozi huko china ili shimbo akistafu yy akachukkue nafasi
 
Aaaaaah wazee kweli tarime sasa hivi kunatisha nyie Acheni mimi muda huu ndio nafika home mwanza toka huko huko tarime huyo jamaa sio kabisa hadi mchana yeye anauwa tu, na hao ITV waongo sio jambazi, jambazi gani anauwa na haibi chochote?
 
mkuu kwa wa2 kumi cyo wivu wa mapez kwan nakumbka mwaka 2012 mauaji kama hayo yalitokea songea mjin halafu mkuu wa mkoa akasema ni wivu wa mapenz kumbe walikuwa ni wauaji/majambaz kutoka nchi jirani ya Malawi.Naomba serikali isilichukulie mzaha jambo hilo ni hatari kwa ndugu zetu mungu awasaidie.
hivi alikamatwa kweli? mbona baada ya maandamano sikusikia tena mauwaji?
 
Nina swali kwa watu wa Tarime wanaofahamu vizuri juu ya watu waliouawa, je watu hao waliouawa ni watu wa kawaida tu au ni watu wanaojihusisha na SIASA?
 
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!

Acha kuandika mambo ya kijinga mimi nilipoandika nina ufahamu na kumbukumbu za matukio mengi yaliyotokea katika nchi hii ambayo Polisi wameshindwa kuyafuatilia na ningependa nikuorodheshee machache kama ifuatavyo
1. Tukio la mauaji ya Mwangosi - Je unafahamu muendelezo wake?
2. Tukio la kutekwa Dr. Ulimboka - Je unafahamu lilipoishia?
3. Tukio la kutekwa na kuumizwa Kibanda - Nalo limeishia wapi?
4. Tukio la Dr. Mvungi - Nalo limeishia wapi?
5. Tukio la Bomu la Olasiti kanisani - Nalo limeishia wapi?
6. Tukio la Bomu la Soweto Arusha - Nalo limeishia wapi?
7. Tukio la kuuawa kwa Mwenyekiti CDM Usariver - Nalo limeishia wapi?
8. Tukio la Sumu Mwakyembe - Nalo limeishia wapi?
9. Kuuawa Padri Mushi Zanzibar - Nalo limeishia wapi?
10. Kupigwa risasi Padri kule Zanzibar - Nalo limeishia wapi?
11. Tindikali kwa Mashehk na Mapadri - Nalo limeishia wapi?
12. Tindikali kwa wale mabinti wa UK - Nalo limeishia wapi?
13. Tukio la kuuawa yule kada wa CDM kule Igunga
14. Tukio la kuuawa yule kada wa CCM kule Ndago Singida

Ndugu usilete mambo ya ujinga hapa wanaoumia na kupoteza maisha ni watanzania wenzetu lazima tuwe na uchungu, ebu fikiria katika matukio yote hayo Polisi wameweza kuyafanyia kazi haya yafuatayo.

1. Tukio la kuuawa kwa RPC kule Mwanza
2. Tukio la kuuawa kwa yule kiongozi wa CCM kule Mbeya kwani hadi watuhumiwa wameishahukumiwa adhabu ya Kifo
3. Tukio la kumwagiwa Tindikali yule kijana Tesha kule Igunga, Ingawa wamelipeleka kisiasa na kukamata wasiohusika
4. Tukio eti la kutaka kumteka Denis Msack na akina Lwakatare, huku matukio ya watu waliotekwa na kuumizwa kuachwa.
 
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!

Ni kweli kumsaka Mtu asiyejulikana ni kazi ngumu sana Pia wasi wasi wangu ni huenda Polisi wakaitumia Fursa hiyo Vibaya kwa kuwakamata kamata watu hovyo matokeo yake wakazidisha hasira za Wananchi hili Janga linapaswa kuchunguzwa sana kwani huenda Wauaji wapo wengi sana ikibidi wawashirikishe Wazee Wa Kimira ili watoe Tamko la Kulaani hayo mauaji sambamba na uchunguzi wa Jadi kuendelea mpaka watuhumiwa Harisi wapatikane
 
Hii inatukumbusha Yule Muuaji wa kule USA aliyekuwa akidungua watu hovyo hovyo lakini hatimae alikamatwa Nina imani Damu za hao waliouawa zitawalilia wauaji hadi Wataumbuka na kukamatwa Mshahara wa dhambi ni Mauti lazima watakamatwa tu cha Msingi ni kufanyika uchunguzi wa kiina kwa kuwashirikisha wananchi kwa karibu hakika Wauaji watabainika wazi
 
Jamani kumejitokeza Mtu/
kikundi cha watu Wilayani Tarime kinachoua watu katika hali ya kusshtua
na kushangaza sana, mimi binafsi nina taarifa za watu wawili waliouwawa
jana na hao wauaji, jambo la kustikitisha ni kwamba wauaji hao tangu
wameanza kuua yapata wiki moja sasa bado hawajakamatwa na hivyo
kuwafanya wananchi kuwa na hofu kubwa na usalama wao.

Ni wito wangu kwa Jeshi la polisi kuongeza nguvu ya askari wenye
utaalamu na Ujasiri kwasababu hali hii sasa inatisha kweli kweli..Polisi
wa kanda maalum inaonekana bado hawajaweza kupata ufumbuzi wa mauaji
haya...

poleni sana watani zangu
 
Back
Top Bottom