Mauaji ya Kutisha Tarime

Mauaji ya Kutisha Tarime

mh !!!! commando aliyeuliwa anaitwa nani vile?

anaitwa marwa
ni mtoto wa kwanza.wa.marehemu Maj Gen Marwa, alipigwa risasi jumapili saa tatu.usiku na kufariki hapohapo
 
hahaha,kamugisha naye ktk taarifa kwa vyombo vya habari kasema eti ni wivu wa kimapenzi.naona polisi wameshindwa kazi
 
Kutokana na kuwepo kwa jambazi ambalo hadi sasa limeshaua watu nane huko loryA tarime. Jeshi la police limeaza msako mkali wa jambazi hilo.

Mkuu wa police nchini ernest mangu ametuma team maalumu kwa ajili ya kuongeza nguvu kuakikisha jambazi hilo anadhiibitiwa na amani inarejea kwa wananchi.
 
Attachments

  • police.JPG
    police.JPG
    249.5 KB · Views: 634
Kutokana na kuwepo kwa jambazi ambalo hadi sasa limeshaua watu nane huko loryA tarime. Jeshi la police limeaza msako mkali wa jambazi hilo.

Mkuu wa police nchini ernest mangu ametuma team maalumu kwa ajili ya kuongeza nguvu kuakikisha jambazi huyo anazibitiw na amani inalejea kwa wananchi.

ngoja vijana wafanye kazi ila nadhani hii picha haiendani na ujumbe kwa sababu zifuatazo;
1.katika majeshi mengi duniani askari wa kike huwa hawaruhusiwi kwenda battle fronts,hata kama wakienda huwa sio wapiganaji.i mean kwenye mapigano huwa hawamo.ukiangalia kwenye picha askari wa pili kutoka mbele ni mwanamke.so,sidhani kama hapo ndipo wanamsaka huyo jambazi.
2.ukiangalia huyo askari wa kike alivyoshika hiyo bunguki yaani mkono hauko kwenye tigger,sasa atafayatuaje hiyo risasi,kama unapambana na adui wakati kidole hakiko kwenye trigger hayo majanga.hapo nahesabu huyo ni maiti.
3.ukiangalia hapo kwa juu kuna watu wanachungulia,u can't imagine,watu wametake cover wanamuwinda jambazi lakini hapo hapo kuna wengine wanachungulia.hahaha wonderful.
4.aina ya bunduki inayotumika inatia mashaka,hiyo SAR,unamfuata jambazi gani?koki piga koki piga koki piga,hajakumaliza tu?magazine yenyewe risasi 10 tu,unamfuata nazo jambazi gani?
 
hi picha yanchekesha sana, mpaka watu wanshangaa hapa mwembe ladu!
 
kwa hiyo hapo kwenye picha ndo wanamuwinda huyo jambazi.....ha ha ha hii nchi hii haiishi vituko
 
mkuu kwa wa2 kumi cyo wivu wa mapez kwan nakumbka mwaka 2012 mauaji kama hayo yalitokea songea mjin halafu mkuu wa mkoa akasema ni wivu wa mapenz kumbe walikuwa ni wauaji/majambaz kutoka nchi jirani ya Malawi.Naomba serikali isilichukulie mzaha jambo hilo ni hatari kwa ndugu zetu mungu awasaidie.
 
ngoja vijana wafanye kazi ila nadhani hii picha haiendani na ujumbe kwa sababu zifuatazo;
1.katika majeshi mengi duniani askari wa kike huwa hawaruhusiwi kwenda battle fronts,hata kama wakienda huwa sio wapiganaji.i mean kwenye mapigano huwa hawamo.ukiangalia kwenye picha askari wa pili kutoka mbele ni mwanamke.so,sidhani kama hapo ndipo wanamsaka huyo jambazi.
2.ukiangalia huyo askari wa kike alivyoshika hiyo bunguki yaani mkono hauko kwenye tigger,sasa atafayatuaje hiyo risasi,kama unapambana na adui wakati kidole hakiko kwenye trigger hayo majanga.hapo nahesabu huyo ni maiti.
3.ukiangalia hapo kwa juu kuna watu wanachungulia,u can't imagine,watu wametake cover wanamuwinda jambazi lakini hapo hapo kuna wengine wanachungulia.hahaha wonderful.
4.aina ya bunduki inayotumika inatia mashaka,hiyo SAR,unamfuata jambazi gani?koki piga koki piga koki piga,hajakumaliza tu?magazine yenyewe risasi 10 tu,unamfuata nazo jambazi gani?

mwenyewe nimeidadavua hii picha nimeona inapamungufu. kama jambazi anahand grunade anaua wote kwa mpigo. alafu huyo wa mbele ana hiyo guard, jambazi linasiraha ya moto itasaidia nini?

lakini nilivyoiangalia vizuri nikajua ilikuwa ni drill maana hapo nyuma jengo ni kama la police. hapo walikuwa wanafanya mazoezi kabla ya kwenda kumchakaza nduli.
 
Hata bullet proof hamna?jamaa atawatungua kama kule Masasi,BTW nimesikia kupitia radio moja kwamba jamaa ni mental disorder!?
 
Kutokana na kuwepo kwa jambazi ambalo hadi sasa limeshaua watu nane huko loryA tarime. Jeshi la police limeaza msako mkali wa jambazi hilo.

Mkuu wa police nchini ernest mangu ametuma team maalumu kwa ajili ya kuongeza nguvu kuakikisha jambazi hilo anadhiibitiwa na amani inarejea kwa wananchi.
Hilo Jambazi au Gaidi?
 
Hiyo ndiyo timu iliyotumwa?QQ..hao wanavochuchumaa kama wanakunya wataweza kweli kuact fast?!!
 
mwenyewe nimeidadavua hii picha nimeona inapamungufu. kama jambazi anahand grunade anaua wote kwa mpigo. alafu huyo wa mbele ana hiyo guard, jambazi linasiraha ya moto itasaidia nini?

lakini nilivyoiangalia vizuri nikajua ilikuwa ni drill maana hapo nyuma jengo ni kama la police. hapo walikuwa wanafanya mazoezi kabla ya kwenda kumchakaza nduli.

Halafu wa kwanza toka kulia na yule wa sita, wako alert na kikamanda zaidi ,the rest hata kama mie ndiyo adui nawafyeka fasta
 
Kutokana na kuwepo kwa jambazi ambalo hadi sasa limeshaua watu nane huko loryA tarime. Jeshi la police limeaza msako mkali wa jambazi hilo.

Mkuu wa police nchini ernest mangu ametuma team maalumu kwa ajili ya kuongeza nguvu kuakikisha jambazi hilo anadhiibitiwa na amani inarejea kwa wananchi.

Hahaaaa haww wanachuchumaa kama wanananiii watamkamata jambazi kweli
 
ngoja vijana wafanye kazi ila nadhani hii picha haiendani na ujumbe kwa sababu zifuatazo;
1.katika majeshi mengi duniani askari wa kike huwa hawaruhusiwi kwenda battle fronts,hata kama wakienda huwa sio wapiganaji.i mean kwenye mapigano huwa hawamo.ukiangalia kwenye picha askari wa pili kutoka mbele ni mwanamke.so,sidhani kama hapo ndipo wanamsaka huyo jambazi.
2.ukiangalia huyo askari wa kike alivyoshika hiyo bunguki yaani mkono hauko kwenye tigger,sasa atafayatuaje hiyo risasi,kama unapambana na adui wakati kidole hakiko kwenye trigger hayo majanga.hapo nahesabu huyo ni maiti.
3.ukiangalia hapo kwa juu kuna watu wanachungulia,u can't imagine,watu wametake cover wanamuwinda jambazi lakini hapo hapo kuna wengine wanachungulia.hahaha wonderful.
4.aina ya bunduki inayotumika inatia mashaka,hiyo SAR,unamfuata jambazi gani?koki piga koki piga koki piga,hajakumaliza tu?magazine yenyewe risasi 10 tu,unamfuata nazo jambazi gani?

Jamaa anaonekana kachoshwa na rai ile ya "weka picha" akajihami kwa chochote angalau.
 
Hata bullet proof hamna?jamaa atawatungua kama kule Masasi,BTW nimesikia kupitia radio moja kwamba jamaa ni mental disorder!?

Loh! Hii nimbaya sana Mkubwa! Sijui serikali inatafakari nini.
 
Nimeshuhudia kwenye Taarifa ya Habari ITV saa 2.00 kuwa Tarime kuna Jambazi limeishaua raia wapatao 8 kuanzia tarehe 26.01.2014 hadi sasa na jeshi la Polisi limempeleka Chagonja na team yake ili kuweza kufuatilia tukio hili na kuhakikisha Jambazi hili ilinatiwa nguvuni.

My Take.
Chagonja ndiye aliyepelekwa na Jeshi la Polisi kule Arusha baada ya ule mlipuko wa Bomu kwenye mkutano wa CHADEMA pale Soweto na hadi anaondoka hatujasikia taarifa yeyote ya nini alichofanikiwa kupata au kuwakamata waliohusika na mlipuko ule. Kinachonisikitisha ni matumizi ya fedha za Umma yanayofanywa na jeshi hili huku Impact ya matumizi hayo ya fedha hizi hatuzioni. Leo hii tena mtu huyu dhaifu anapelekwa tena Tarime na uko tutegemee yaleyale ya Arusha, hivi ndani ya jeshi la Polisi hakuwa wenye uwezo wa kuwajibika kwa ufanisi kuliko huyu Chagonja?
 
Back
Top Bottom