mwanamakambako
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 780
- 120
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
utaendelea kuwa mpuuzi maisha yako yote, subili waje wafanyiwe wazazi wako au wewe mwenyewe, ndipo utakapojua kuwa polisi wanapaswa kuwajibika hapo, mtu gni usiye na huruma kwa watanzania wenzio, umeishavaa sifa zote za Mwigulu Nchemba, subili, na wewe yatakupata tu, matatizo hayana mwenyewe.