Mauaji ya kutisha bugalika, mwanza!!!!

Mauaji ya kutisha bugalika, mwanza!!!!

Wali bugi kwa kweli wazazi wa binti wa Kirangi..

Halafu kwa Mkurya...!

Mh!!!
 
^^
Hata watu wa chini tunahitaji faraja..
Kwa kuwa wanapigia goti nguvu ya pesa na kutema mate nguvu ya upendo niache niseme huenda nikapata nafuu
^^

pole sana mkuu.... tema tuwachape wadada wote wenye hiyo tabia ya kuhusudu pesa kuliko kuthamini pendo la mtu.. kwanza wanafanya wanawake wote twaonekana hivyo
 
Wazazi walipaswa kuplay part yao as long walimpa chacha mashart na akawa anayatekeleza ipasavyo walipaswa kutoipokea posa ya huyo kijana wa caplpoint na wangeshirikiana na chacha kikamilifu kuweka mambo sawa. Big up chacha kwa kuwalipua japo ungeamua hata kutoroka baada ya soo kwan tanzania ni kubwa mno.
 
Hapo kuna masuala mawili mazito: kwanza afande Chacha alipenda mpaka mwisho wa moyo wake, akajitolea kumpa Ummy chochote kile atakacho ili mradi amridhishe ikiwemo kulea wazazi wake lakini akaambulia maumivu. Aliona bora afe kuliko kuishi kwa mateso ya mapenzi (ni makali, asikwambie mtu) na bora amtoe roho Ummy na wazazi wake kama adhabu ya usaliti aliofanyiwa. Jambo la pili, wazazi wa Ummy waliongozwa na tamaa wakakubali maamuzi ya binti yao bila kufikiria jinsi gani afande Chacha alijitolea kwao, hatimae wakapoteza uhai. Funzo, mabinti bora umchane mwanaume mapema kwamba humpendi kuliko kumkubali akutimizie shida yako then unamtosa kama kapi la muwa lililoisha utamu.
 
Nahisi wewe hujawahi kupenda au bado hujapata mtu wa kumpenda, wengi au wachache ulionao hua unawatamani, msikilize Muumini Mwijuma na wimbo wake Mapenzi yanaua, enzi za Tam tam.
Kama ni mimi siwezi kukosea kama chacha.

Angewapa ulemavu wa kudumu kwa risasi bila kujulikana aliyefanya tukio hata kwa kutumia watu then anatafuta Mrembo mwingine anaoa.
Siwezi kuacha kuishi kwa ajili ya kiumbe chenye Uke.
 
Ndugu zangu wa Tarime mambo yao huwa ni hakuna kuremba, nafurahishwa na hilo kwani wanafiki wamekuwa wengi. ''Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko''.
 
Katika watu wote waliosomesha mabinti ili waje kuwaoa, mwisho wa safari wote walikuja kutoswa,
Sikia, zingatia, siku zote hivi ndivyo inavyotokea.
 
Back
Top Bottom