Mauaji ya kinyama ndani ya Premier Palace -ARUSHA

Umeona hapo nilipobold huo ndio ulimbukeni wa watz wanapopata hela, bank zipo za kufugia kuku?? siku hizi kila kitu online hakuna haja ya kutembea na mabulungutu ya hela ni kukitafuta kifo kwenye nchi kama hii ya watu waliokata tamaa ya maisha.
RIP taikun wengine wajifunze kutoka hapo

Unahisi huyo anajua Online banking? nimegundua bank ni wezi tu bora ukae na hela zako nyumbani basi!
 
hata mimi ningefanya vivo hvyo m mia 6 af unazurura nazo?wat kibao wamepgka af analeta magumash hawa wezi tu
 
Umeona hapo nilipobold huo ndio ulimbukeni wa watz wanapopata hela, bank zipo za kufugia kuku?? siku hizi kila kitu online hakuna haja ya kutembea na mabulungutu ya hela ni kukitafuta kifo kwenye nchi kama hii ya watu waliokata tamaa ya maisha.
RIP taikun wengine wajifunze kutoka hapo
unapofanya biashara ya madini hela huwa unalipwa muda wowote iwe mchana au usiku .hakuna kuaminiana kutokana na jiwe umepata muda gani ,tatizo hutokea pale wengine wanajua nini unachofuatilia hapo njama zinaanza za kukupora pesa
au uhai wafanikishe wanachotaka ..
 
Jana tuliambiwa ni kigogo wa chama cha siasa leo ni tycoon.........which is which?

Sidhani kama alikuwa mwanasiasa..ila Ngereja,Zungu,huyu mganga wa kienyeji naye mbunge wa Jimbo fulan la Tanga huko na wabunge wengine walikuwepo siku ya juma3 usiku kuamkia hiyo siku ya tukio...
 
Hilo ni lidhamini la magamba limekufwaaa twendelee kuomba mamtu kama hayo yaishe yote.yaani milion 600 unatembea nazo! Namatanzanaiti mengi mengi wakat meme na majiran zangu hatujawah kushikaga hata m!! Me silii nacheka hahaha,yaani lijitu linapesa nyingi limekufa hata bila kuacha shule ya watoto yatima halina msaada wowote kwa jamii achen liende ni njia za 2015 zinafunguka

w bwe.ge kweli....uko dunia ipi??? Au upo kimbiji nini?? Au kulee sisiemu wanakozoaga kura wakija na kanga,kofia,ubwabwa,na buku buku!!...huku watu watembea na hela kwenye buti ya gari au dashboard imejaaa misimbazi na dola za kutosha.wewe kama hata umasikini wakujua vitu unakusumbua kaa kimya.unajua jiwe la tanzanite wewe!..colour A jiwe lenye ukubwa wa punje ya korosho unajenga nyumba ya kisasa huko kijijini kwenu na wanakuita tajiri.
 
tutaaminije hii habari.....hakuna picha....?

Preta

Ni habari ya kweli na hata hivyo mpaka majira ningine bila shaka wadau watatuwekea picha!

mimi ni Tomaso jamani........mpaka nione picha......

Preta kweli aweke picha huko tuna ndugu jamaa na marafiki wengi.



Heheheheheeheheheheheheeeeee!!!!!!!!!

Acheni nicheke mieeeeeee!!!!!!

JF tuna tabia ya kukimbia hata kivuli chetu. Leo tunaka picha ya marehemu mtu aliyekufa kwa kunyongwa.

Yaani hata wiki haijaisha hapa hapa tulilaani kitendo cha kuweka picha ya marehemu SHARO MILLIONEA!!!!!

Au kuna ubaguzi kwamba za mastaa zisiwekwe lakini sisi walalahoi ndipo tuanikwe hadharani katika mitandao.


JAMANI MBAVU ZANGU MNAZIVUNJA KWA KICHEKO Cha HUZUNI!!!!

ANGALIENI MWILI Huu HATA HAMUNIONEI HURUMA KUCHEKA SANA!!!!


Skeleton.jpg


MIZAMBWA
INANIUMA SANa!!!
 
Last edited by a moderator:
Je ni Papa King ?,Kanunga? au sunda.....ni nani? ina maana watu wa arusha hakuna mjanja na mwenye mtandao wa habari...ni Lekule au laizer au ni mzee mzima D!
 
haha ha ha ha milioni mia sita?????? alikuwa anatembea na gunia za pesa au?.....
 
KIla sehemu ya TZ ni watu kuvamiwa usiku hata mchana kupora, kuumiza au kuuwa. Hii ni hatari sana. Hakuna amani. Tumwombe Mungu lakini pia viongozi au vyombo husika vitimize wajibu wao.
 
Back
Top Bottom