lini umetoka australia? kumbe upo kenya? usipoweka hiyo audio hapa jua wewe ni mnafiki?Kabla ya Christmas mkuu ndo Nimerudi, majina yao ya nini? ili na wao muwaue kwa kutoa Taarifa?
Namalizia kuiandika kimombo kwa kirefu ili niwatumie mabeberu Marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuacheni ,Sisi WANYONGE jamani.
Tuacheni ,Sisi WANYONGE jamani.
wanaofanya hayo sio watanzania kabisa. watanzania hatuna roho mbaya kiasi hicho. je nauliza je wanaoua kikatili ni jeshi letu kweli au la nchi jirani?
Hakikisha utakapozipost unitag ili nilitumie jarida hilo kukushtaki kwa kusema uongo.Sikutaka kuandika bila kujionea, sasa nimejionea mwenyewe na ninazituma hizi Habari Marekani kwenye Gazeti la Newsweek
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabendera alitaka kujulikana mwenyewe mimi nitatuma jina FakeHuoni kwamba utajulikana? Mwenzio Kabendera alitumika lakini sasa hivi yupo alone kizuizini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hapa page ya Instagram niliyonukuuUnaweza kuta unatafuta Kiki tu..coz siku zote ili habari iwe habari inapaswa iangalie pande zote mbili, sasa kutokana na njaaa..tetesi siku hizi nazo zimekua Ni habari na kujifanya umetumia ujasusi kumbe umesoma kwenye insta pages. Habari yako hainatofauti na Ile aliyotoa Zito kuhusu CAG mstaafu
Nikufurahishe wewe kisha niuawe Kama Azory Gwanda?lini umetoka australia? kumbe upo kenya? usipoweka hiyo audio hapa jua wewe ni mnafiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikisha utakapozipost unitag ili nilitumie jarida hilo kukushtaki kwa kusema uongo.
Mwaka kesho 2020 tutamchagua mwenyekitiwetu was "saccos" yeye nikiongozi anaye jali saana domokrasia kuliko tuliye naye na anaye fuata ni maigizo -ya wazalendoNa bado wanamwabudu mtukufu pale kirumba walilala siku tatu wakiimba na kumsifu mtukufu!
Yote heriMwaka kesho 2020 tutamchagua mwenyekitiwetu was "saccos" yeye nikiongozi anaye jali saana domokrasia kuliko tuliye naye na anaye fuata ni maigizo -ya wazalendo
let ushahidi kuwa Azory kauawa?Nikufurahishe wewe kisha niuawe Kama Azory Gwanda?
You're extremely frustrated
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo huku kanda ya ziwa karibu kabisa na mkoa wa Geita.
Hii habari ni ya kweli kabisa.
Maasikari wanakula rushwa, wanaua na kujitapa kuwa wana baraka zote toka kwa mwana wa Chato aitwae Magufuli Yohana.
Tuma sheikh wanguKabla ya Christmas mkuu ndo Nimerudi, majina yao ya nini? ili na wao muwaue kwa kutoa Taarifa?
Namalizia kuiandika kimombo kwa kirefu ili niwatumie mabeberu Marekani
Sent using Jamii Forums mobile app