Mauaji ya kikatili kanda ya Ziwa

wanaofanya hayo sio watanzania kabisa. watanzania hatuna roho mbaya kiasi hicho. je nauliza je wanaoua kikatili ni jeshi letu kweli au la nchi jirani?
 
Kuna mijitu imemuiingilia na kumuibia jamaa yangu juzi, nimeumia sana..leo hata nikisikia Askari wamefanya yao sioni huruma kabisa.

Hii mijitu nikisikia imekamatwa na kutundikwa nitafanya sherehe.....Mijambazi ni mapumbavu sana.
 
Acha kujidanganya,Watanzania ni binadamu kama binadamu yeyote duniani na wanaweza kufanya chochote binadamu wanachofanya duniani.
wanaofanya hayo sio watanzania kabisa. watanzania hatuna roho mbaya kiasi hicho. je nauliza je wanaoua kikatili ni jeshi letu kweli au la nchi jirani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta unatafuta Kiki tu..coz siku zote ili habari iwe habari inapaswa iangalie pande zote mbili, sasa kutokana na njaaa..tetesi siku hizi nazo zimekua Ni habari na kujifanya umetumia ujasusi kumbe umesoma kwenye insta pages. Habari yako hainatofauti na Ile aliyotoa Zito kuhusu CAG mstaafu
Weka hapa page ya Instagram niliyonukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Report ya hovyo kabisa na uchonganishi. Uandishi kama huu ni hatari sana, sema na wapi ziwa na mbuga vinakutana.
 
Hakikisha utakapozipost unitag ili nilitumie jarida hilo kukushtaki kwa kusema uongo.

nitaandika kwenye Gazeti la Newsweek kwa kutumia jina feki na watai publish ili Dunia ijue ukatili wa serikali ya Tanzania,jiandae kulishtaki Gazeti la Newsweek Kama unaweza, pambaneni na Kabendera mliyemkamata, sisi tutaendelea kuwakaanga kimya kimya hadi muungue wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado wanamwabudu mtukufu pale kirumba walilala siku tatu wakiimba na kumsifu mtukufu!
Mwaka kesho 2020 tutamchagua mwenyekitiwetu was "saccos" yeye nikiongozi anaye jali saana domokrasia kuliko tuliye naye na anaye fuata ni maigizo -ya wazalendo
 
Mwaka kesho 2020 tutamchagua mwenyekitiwetu was "saccos" yeye nikiongozi anaye jali saana domokrasia kuliko tuliye naye na anaye fuata ni maigizo -ya wazalendo
Yote heri
 
Back
Top Bottom