Mauaji ya kikatili kanda ya Ziwa

Kwa habari za uhakika zisizo na shaka nilizopata jana ni wazi 'interahamwe' iko rubondo,, Magufuli kaweka pamba masikioni hasikii wala hajishughulishi kusikia

Damu za watu zinamwagwa kama wanachinja kuku tu, kama ambavyo mama yake anamuumiza na mama wa marehemu ndivyo wanavyoumia hawana pa kusemea majonzi yao, hawana pa kukimbilia,

Uvuvi haramu hautoi uhalali wa vifo vya kikatili namna ile, kuzika watu wakiwa hai wanaona na wanapumua.....yuko wapi anayejiita raisi wa wanyonge???

Kambi za watu wako zimejaa mafuvu ya watu au ni mpaka wauawe ndugu zako??

Nchi inatisha hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi ulivyosimulia na unadai "unawalinda" watoa taarifa umekosea.

Kwa Watu "majasusi" kama ulivyodai wapo Huko. Wameshafahamu waliokupa taarifa hizi. Yaani kama ni kweli yanatendeka hayo uliyodai. Watawafuata waume na marafiki zao huko wanapowalilia...


Kwa hadithi yako hata mimi ushoroba wa kati mkulima wa ndizi huku karagwe naweza kuwafikia hao mashahidi chap. na kuwafanya chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupewa Taarifa hii niliamua kwenda mwenyewe kushuhudia hao wajane walioachwa baada ya waume zao kuuawa kikatili kwa kosa la kufanya uvuvi haramu .

Hakuna chombo Chochote cha Habari chenye uwezo wa kuripoti hili Tukio na kikabaki salama, hakuna, na ndio maana watu hawajui ukatili unaotendwa kwenye mkoa tarajiwa kanda ya ziwa.

Karibia na Ziwa kuna mbuga ya wanyama (iliyozinduliwa na wanyama kibao, wakiwemo Twiga na Simba kupelekwa huko).

Wale wavuvi wakisha kurupushwa ziwani na askari pori huwa wanakimbilia msituni ili kujiokoa wasikamatwe kwa sababu hawana access ya kutorokea zaidi ya msituni, lengo la wale askari ni kuwafanya wakimbilie msituni ili waliwe na Simba na ndicho ambacho hutokea.

Wanaokamatwa hupigwa risasi baada ya kutundikwa msalabani Kama Yesu kwa mateso makali.

Ananieleza X mvuvi aliyenusurika nikiwa nyumbani kwake pamoja mjane aliyekuwa akilia muda wote wa simulizi hii ya kweli, na ya kutisha.

Maelezo yote nime record, na kwa sababu za kiusalama siwezi kuyaweka hapa kwa sababu sauti yangu itasikika ikiwahoji, sitaki kumfuata Azory Gwanda.

Nilipata Taarifa hizi nikiwa Kisumu Kenya na kwa kuwa nilipanga kula Christmas Tanzania nikaamua niende kupiga kambi eneo hilo lenye majasusi wengi wa Serikali, nilitumia mbinu exceptional kupata hizi Taarifa.

Najua hii inaweza isidumu humu kwa sababu ya Udikteta wa Habari uliopo Tanzania, lakini kabla ya kuifuta naiomba Management ya JamiiForums itume kikosi kazi cha siri ili kwenda huko kupata Taarifa hizi, watumie ujasusi kuzipata wahakikishe hawajulikani kwa sababu adhabu ni kupotezwa kama Azory Gwanda.

Nilifikia Guest House yenye hadhi duni sana na mwonekano wangu nilivyojiweka haikuwa rahisi kunistukia lengo langu.

Wanawake wamebakia wajane, watoto wanateseka na njaa.

Mungu iponye Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

=====
Waandishi wa habari wamepotezwa na kirusi kipya (novel virus) kinachoitwa Azorygwanda.
 
Lini utaacha hii roho mbaya ya Kihutu mluovuka nayo apo Mabira
Kwa jinsi ulivyosimulia na unadai "unawalinda" watoa taarifa umekosea.

Kwa Watu "majasusi" kama ulivyodai wapo Huko. Wameshafahamu waliokupa taarifa hizi. Yaani kama ni kweli yanatendeka hayo uliyodai. Watawafuata waume na marafiki zao huko wanapowalilia...


Kwa hadithi yako hata mimi ushoroba wa kati mkulima wa ndizi huku karagwe naweza kuwafikia hao mashahidi chap. na kuwafanya chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mmmmh tumekuwa kama genge la NARCOS? kama kweli walaaniwe japo siamini.
 
Write your reply...mmmmh tumekuwa kama genge la NARCOS? kama kweli walaaniwe japo siamini.
 
CCM Ajiri madaktari wa saikolojia na akili ya binadamu ili mnapo fanya vetting msiteue wehu na vichaa kama huyu anavotuumiza!!!!tutaisha jamani!!!!nyoka anatugonga!!
 
Back
Top Bottom