masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,560
- 20,098
haichoshi
nimeisoma hadi mwisho ina maana huyo kijana hajaukumiwa
nimeisoma hadi mwisho ina maana huyo kijana hajaukumiwa
Cape town siijui vema,na ata mauaji huko si mengi kama hapa JOBURG,but now days mambo yamebadirika maana usalama ni mkubwa.
But kuna mitaa kama YEOVILLE,BEREA,ALEXANDRA na HILLBROW,huko ni full mauaji na unyang'anyi,ni kama miezi miwili imepita kuna dogo mmoja ni MTZ ni machinga wa simu anatokea kanda ya ziwa,aliuawa club hapa JOBURG kwa ulimbukeni wake.
Dogo alikua anaingia club kila weekend na around rand 10,000.Siku hiyo jamaa wakamuotea wakamchoma kisu wakabeba mzigo wakatembea.
But maeneo kama BEDFORDVIEW,SANDTON,FOURWAYS,SUNNINGHILL,HYDE PARK,MORNINGSIDE,ROSEBANK,HOUGHTON,WAVERLY,PARKHURST,NORTHGATE huku ni salama sana kuishi.
But nyumba ziko bei juu sana.
So kabla ya kuja huku ni vema ukajiandaa kukabiliana na majanga hayo.
But DARBAN iko poa sana ingawa pesa ngumu kama MORO kwa TZ.
Mambo yote Joburg!!!!
Ndio mjue pesa ni kila kitu!!
Mnaosema sijui haikupeleki mbinguni nakadhalika ni kujipa moyo tu kwa kuikosa! Lakini money and wealth is EVERYTHING!! You can kill anybody and with the right amount of wealth used effectively to gain power huwezi hukumiwa!