Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,597
- 18,414
Kwahiyo unasisitiza kuwaIla kuimba na kukata viuno ndiyo sehemu unayotaka wewe. Ndiyo maana wengi wenu ni wajinga kwa kumezeshwa kila kitu bila kufanya utafiti wa kimaandiko. Mke zaidi ya mmoja kwa wanaume wenye nguvu zao. Ndiyo maana karibia mitume wote walikuwa na mwanamke zaidi ya mmoja. Ukimuona mwanaume anashangaa mtu kuwa zaidi ya mke mmoja, atakuwa na matatizo ya uhanithi.
Huyo Yesu wa biblia anadai atapiga vyombo.
Mathayo 26:29
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Halafu Ondoa jazba basi unapo ongea. Nini shida kwani ?
wakati mi nimeongea mambo ya kwenye maandiko tu ?
Nimeuliza sana hata mimi,, hao mabikira 72 ni kila mtu atapewa au ni wateule wachache,,, na Wanawake watapewa nini..?? au ndio kina Yna2 wakifa wataenda kuwa hao mabikira...? inafikirisha sana kama hili jambo ni kweli lipo kwenye maandiko yao.Mkuu bikra 72...dah!
Anasa/uasherati mkuu...
Je kwa ambao hawapendi ngono watapewa nini?
Mjiandae kwenda kuwa sex machine.
Mbona umeruka kwenye wanawake kama kitu cha ajabu wakati Adam mwenyewe alipewa mwanamke? We umepotosha kwamba kila mtu atapewa wanawake 72 bila kuleta andiko. Hayo madai umeyatoa wapi? Au umemezeshwa na wenzako wa mitandaoni?Kwahiyo unasisitiza kuwa
Mbinguni
Kwa Allah
Pombe, Maziwa na Asali na Wanawake kama kawaida sio ?
Kwetu haitakuwa hivyo huko tutaishi kama Malaika.
Hakuna mambo ya kuzawadiwa wanawake.
Marko 12:23 Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye.
24 Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?
25 Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.
Kama unasema mambo ya Ufalme wa Mbingu hata sasa sisi tupo katika Ufalme wa Mbingu ndio maana tunatumia Divai kwa kiasi.
Luka 17:20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;
21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.
Halafu Ondoa jazba basi unapo ongea. Nini shida kwani ?
wakati mi nimeongea mambo ya kwenye maandiko tu ?
Au ndio nakufuru ?
We tangu uliposikia hilo andiko huwa halitolewi. Ila la kuimba,kucheza na kunywa divai halikufurahishi kwa mujibu wa biblia?Braza amekuwa mkali...
Ila mimi hilo swala la mabikira linanifurahisha sana,,,ngoja nitafute hilo andiko nikalisome...
Hao njaa tu Mtumishi!Hii ndio Deen ya Hakh
Good so, uwe unatuliza sasa unapoona.Raha sana hiyo, ulijuwaje?
We tangu uliposikia hilo andiko huwa halitolewi. Ila la kuimba,kucheza na kunywa divai halikufurahishi kwa mujibu wa biblia?
Muda wote unapiga nyimbo na kucheza kama Diamond. Tarumbeta na ngoma mwanzo mwisho bila kupumzika
Ur fucking kidding me,dini ya haki na unyenyekevu!dini ambayo watu wanajichukulia sheria mikononi!!those are fucking thugs!radicalized mother fuckers!
Fatilia uzia utaelewa nani aliyeuliza.Huu upuuzi wako unamwandikia nani wewe kizee
USSR
Nikuulize wewe wakati Uislam ndiyo mfumo pekee wa maisha uliokamilika. Jifikirie kaba hujaropoka.Good so, uwe unatuliza sasa unapoona.
Inasikitisha sana!Kwa hiyo watakabidhiwa mabikra wao 72 kila mmoja ili wacheze nao pembeni ya vijito vya maji matamu?Hawana akili.
Waislam labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Mkuu nakushauri!Alikuwa Myahudi
Hayo umeandika wewe.Exactly!!!
Huyu hapa muislam sasa,wale wote wanaotafuta sympathy kwamba dini haikuruhusu kuhukumu sijui blah blah blahs waje wasome comment ya muislam aliyeandika ukweli wa uislam.hakuna kitu msamaha ktk hiyo dini siyo kutoka kwa Mungu wao wala wafuasi wao
Wewe ni kichaa, mngefanya ujinga huo huku bongo mngeona moto.Mtu mpaka anafikia kuchoma Qur'an, kumdhihaki Mtume Muhammad S.A.W n.k!!
Kwahiyo binti wa kikafiri ameuawa sio!! Iwe fundisho kwa wengine.
And vice versa!!!Hayo umeandika wewe.
Hakuna dini yenye Msamaha katika hukumu zake kama Uislam.
Hakuna dini yenye sifa za huruma na kurehemu kama Uislam.
Ujinga tu ndio unakufanya uandike maneno yako uyasingizie kuwa ni yangu. Punguani wahed.
Mfumo pekee uliokamilika kuuwana kama wanyama?rubbish!Nikuulize wewe wakati Uislam ndiyo mfumo pekee wa maisha uliokamilika. Jifikirie kaba hujaropoka.
Yaani mtu anamuua Binadamu mwenzake anaye mwona na anaishi naye kila siku.Mfumo pekee uliokamilika kuuwana kama wanyama?rubbish!
Aliyekwambia dunia hii kuna uhalali wa kumuuwa binadamu mwenzako kisa amekuudhi nani?so huo ndo mfumo wenu wa dini,labda unachokiabudu kimekuharibu akili na bora wanyama wanauwana ni nature wengine ni kitoweo kwa wenzao sasa wewe huyo aliyechomwa moto mmemla?