Matusi ya mwanasheria mkuu wa serikali kwa mh. Tundu lisu

Nilitegemea Mwanasheria mkuu atoe ufafanuzi wa kisheria badala ya kuzua malumbano ndani ya bunge. Nilitegemea aseme sheria inakataza nini, na inaruhusu bila ya kumtaki mwakilishi wa wananchi - personally. Lakini bado naendelea kujiuliza, kwa nini mwanasheria mkuu anaonekana kuwa ndio kiongozi wa juu bungeni? Uhuru wa bunge kama mhimili wa juu kabisa wa kuisamamia serikali uko wapi?

NB: Ninamuona @Dr F. Ndugulile hapa, niseme tu kwa nia njema, mwenendo wa uondeshaji bunge kwa sasa utawapa shida sana wabunge wa CCM 2015. Bunge limegeuka kuwa msemaji na mtetezi wa serikali, wananchi wamezibwa midomo kinyume cha sheria (ukimziba mdomo mwakilishi wa wananchi maana yake umewaziba midomo wananchi). Na kutokana na ukweli kwamba CCM ndio wengi, na uongozi wa bunge uko chini ya ccm basi itabidi wabebe lawama, wakumbane na chuki ya wananchi. Sina hakika kama wanaliona hil.
 
nilitamani awe karibu huyo werema nimtemee mate, nafikiri anajipendekeza kwa mjomba cjui awe anani aise akistaafu hiyo kazi aisende musoma aende msoga
 
Nilikua sijui udhaifu lakini jana niliuona kwa naibu spika. Yaani neno limetamkwa dakika sifuri, Lisu anasimama kulalamika cha ajabu spika hapohapo anakataa kwamba werema hakutamka hivyo. Nilifuatilia bunge likiwa live, kisha nikaangalia kwenye taarifa ya habari kwakweli ni aibu tupu kwa spika kwani tusi lile lilimhusu hata yeye Mdungai. Ni vyema angechukua hansad aone yaliotokea
 
Nilitegemea Mwanasheria mkuu atoe ufafanuzi wa kisheria badala ya kuzua malumbano ndani ya bunge. Nilitegemea aseme sheria inakataza nini, na inaruhusu bila ya kumtaki mwakilishi wa wananchi - personally. Lakini bado naendelea kujiuliza, kwa nini mwanasheria mkuu anaonekana kuwa ndio kiongozi wa juu bungeni? Uhuru wa bunge kama mhimili wa juu kabisa wa kuisamamia serikali uko wapi?

NB: Ninamuona @Dr F. Ndugulile hapa, niseme tu kwa nia njema, mwenendo wa uondeshaji bunge kwa sasa utawapa shida sana wabunge wa CCM 2015. Bunge limegeuka kuwa msemaji na mtetezi wa serikali, wananchi wamezibwa midomo kinyume cha sheria (ukimziba mdomo mwakilishi wa wananchi maana yake umewaziba midomo wananchi). Na kutokana na ukweli kwamba CCM ndio wengi, na uongozi wa bunge uko chini ya ccm basi itabidi wabebe lawama, wakumbane na chuki ya wananchi. Sina hakika kama wanaliona hil.
Sikio la kufa halisikii dawa:flypig:
 
Kumbuka ccm inakufa kifo kibaya kama imefikia hatua mwanasheria wa serikal anatukana bungeni matusi makubwa kama yale then naibu spika anamsapoti unategemea nn!
 
anatetea tumbo lake jamani, sasa nani kila mtu kawekwa na mkulu sasa akipinga atakula wapi? Kikubwa jipeni moyo kila jambo na wakati wake wakati unakuja hakutakuwa na ujinga huo,
 
ccm imemharibu werema, Huko nyuma hakuwa hivo, Ni Judge huyu bwana imenisikitisha sana aliingia na gia kubwa eti yeye si ccm na wakimzingua anautema uanasheria mkuu, now amekuwa ccm zaidi hata ya Nape na Mwigulu Machemba, ameishiawa kabisa akili ya kufikiri na kujibu hoja now anatukana bila hata haaya mweeeeee! ccm imeisha imebaki ni kuharibu 2 sasa.
 
Yaani kwenye Chama Wajanja ni RA na EL, maana wamejitoa na wanaangalia Gemu kupitia luninga
 
Kinacho mtesa jaji mkuu ni ile kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji wasio na sifa waliochaguliwa kwa upendeleo na jk. Bila shaka kwa jinsi Werema anavyo pwaya kwenye nafasi yake naamini ni miongoni mwa hao majaji under jk umbrella.
Sikutegemea jaji mkuu anae jinasibu kuwa hana chama ana amka kumjibu mbunge wa upinzani kwa lugha inayo tafsrika kuwa ni tusi halafu naibu spika ambae ni mbunge wa ccm atetee kauli ya AG.

Baada ya tathimini kuonyesha kupwaya kwa kiti cha spika no wonder itakuja tathimini kupwaya kwa AG akiwa out weigh na Tundu Lissu. Kwa bunge hili TL ameonyesha ukomavu na ujuzi wa kisheria kuliko anae itwa Jaji mkuu.
 
wakuu huyu si ndiye alisema, "katiba mpya nooo....watu wamekuwa kama bata, kila bata anaongea lugha yake haa..haa...haa(akimaanisha katiba...katiba...katiba...)"

ilikuwa mbele ya kamera za TV maeneo ya karimjee sometimes last year.

sishangazwi na kauli DHAIFU kama hizo kutoka kwa mwanasheria mkuu DHAIFU akiitumikia serikali DHAIFU katika bunge DHAIFU ambalo linawakilisha wananchi DHAIFU(ambao wakipewa kula wanatoa kura).

bunge letu ni zaidi hata ya Ze-Komedi(huwezi kutoka mapovu ya mdomo kulaumu utendaji mbovu na mwisho ukaunga mkono hoja isipokuwa mapovu yale ni sehemu ya maigizo ya vichekesho).
 
hata serikali haipo kwani inatakiwa iwatetee wanachi, ifanye kazi kwa usawi wa raia wake lakini sivyo hapa kwetu, serikali ni kwaajiri ya ustawi wa matumbo machache 2.
 
Siri yaUMASIKINI wa Tanzania ndio iko hapo kwa sababu checks and balanaces tumeziua.. na MUASISI wa mauaji hayo ni huyo baba yenu wa Taifa, ambaye hakuweza kuishi na mtu mwenye muono tofauti na wa kwake... sasa kaacha katiba mbovu ambayo ime fuse madaraka yote kwa mhimili mmoja.. EXECUTIVE! mihimili mingine JUDICIARY and PARLIAMENT ni kiini macho tu!!!! Ndio sababu ya komedi mnayoiona bungeni.. orijino komedi nyuma!!
 
Kinacho mtesa jaji mkuu ni ile kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji wasio na sifa waliochaguliwa kwa upendeleo na jk. Bila shaka kwa jinsi Werema anavyo pwaya kwenye nafasi yake naamini ni miongoni mwa hao majaji under jk umbrella.
Sikutegemea jaji mkuu anae jinasibu kuwa hana chama ana amka kumjibu mbunge wa upinzani kwa lugha inayo tafsrika kuwa ni tusi halafu naibu spika ambae ni mbunge wa ccm atetee kauli ya AG.

Baada ya tathimini kuonyesha kupwaya kwa kiti cha spika no wonder itakuja tathimini kupwaya kwa AG akiwa out weigh na Tundu Lissu. Kwa bunge hili TL ameonyesha ukomavu na ujuzi wa kisheria kuliko anae itwa Jaji mkuu.

Sio Jaji Mkuu ni Jaji wa Mahakama Kuu na sasa ni AG (Attorney General) wa serikali...
 
Back
Top Bottom