Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Vibaya mno Ila ni matamuBox lilikaa nje yana harufu kaki sana
Vibaya mno Ila ni matamuBox lilikaa nje yana harufu kaki sana
Hio harufu ndio utamu wenyewe sasa 😉Box lilikaa nje yana harufu kaki sana
Hili ni tunda gani
Nayapenda sana matopetope au huko yanaitwaje
Duh...Hili tunda linaitwa Durian linapatikana South Asia
Ni tamu Ila linaharufu mbaya sana kiasi kwamba kuna mabasi ni marufuku kupanda nayo na hata usafiri mwingi tu
Linanuka vibaya sana ingawa linaitwa Mfalme wa Matunda
View attachment 3449460
Maajabu sanaDuh...
Tunda tamu ila harufu.. 😂
kuna mademu wa kizungu watamu
Hili ni tunda gani ?.
Tunda la mti wa kati..Hili ni tunda gani ?.
Hadi mate yamenijaa,nimekumbuka kwa babu.
Mi mwenyewe napenda sana hilo tunda.Hii midude naikubali sana