Tunda headache
Uweke na majina yake
MastafeliHii midude naikubali sana
Tunda gani hili?
Mkuu, hii tamu ya vidume?
Yalikuwa zamani kabla ya jamaa kuanza kuyakaangaKwani nyanya ni tunda.
HaswaaaaaUweke na majina yake
TopetopeHii midude naikubali sana
Last time nilipoenda kwa wife Zenji akanifungashja Ila kufika kwenye boat wakakataa katakata nisiingie nayo ndaniHili tunda linaitwa Durian linapatikana South Asia
Ni tamu Ila linaharufu mbaya sana kiasi kwamba kuna mabasi ni marufuku kupanda nayo na hata usafiri mwingi tu
Linanuka vibaya sana ingawa linaitwa Mfalme wa Matunda
View attachment 3449460
Wamekuonea tu. Wameona utafaidi tu kwenda kujilia vitamu pekeyakoLast time nilipoenda kwa wife Zenji akanifungashja Ila kufika kwenye boat wakakataa katakata nisiingie nayo ndani
Angel Nylon
DaaLast time nilipoenda kwa wife Zenji akanifungashja Ila kufika kwenye boat wakakataa katakata nisiingie nayo ndani
Angel Nylon