KwannMkirudi ni ndimu na vichefuchefu kwa kwenda mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya majani ya mwisho yana kararata
Nayajua hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana unalijua tunda la tope tope(sina hakika kama kila sehemu wanaliita hivi)
samahaniNayajua hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ni dawa ya kubwa sana
Entuntunwa & Enkelele/hawa dotcom wanajidai kuiita berries acha kabisa nimekumbuka adventures za kijiini kwetu.