Kwa jina lingine STAFERI/STAFELIMshana unalijua tunda la tope tope(sina hakika kama kila sehemu wanaliita hivi)
Asante Kaka
"wild custard apple" kama sikoseisamahani
Yanaitwaje kwa kingereza mkuu
kwa huku,stafeli na topetope ni matunda mawili tofauti.Kwa jina lingine STAFERI/STAFELI
Duu nilisoma kule ujue
Matamu sana kwetu yanaitwa entutunuuYa mwanzo kabisa yanaliwa?
Kijijini kwetu yapo porini ila hatuli
Wewe utakuwa wa Bituntu au KyabajwaEntuntunwa & Enkelele/hawa dotcom wanajidai kuiita berries acha kabisa nimekumbuka adventures za kijiini kwetu.
siuteiya n'ghambia vyedi mbwiyanguWeshu wauteiya unkobo?!?