Matunda: fahari ya Lushoto

Matunda: fahari ya Lushoto

Haya matunda unaweza kususiwa khanga na mtu akakumibia
 
.
ccac00fc7dbe64003faa60d844de27b8.jpg
9b4db01d1e58fcddf9f7de38c242d0b3.jpg
Hii ni mistafeli na mishesheri
 
Nilifika huko lushoto, baridi yake balaaa. Coast kule Magamba, nilikoma hali ya hewa.
 
Matomoko. Dah, ilibaki kidogo tu wanilaani kwasababu ya haya matunda, enzi zangu nikiwa shule ya msingi. Yaani kijiji kizima, yote yalikuwa ni yangu! Wala sikutaka kujua nani ameyapanda wala yamo kwenye shamba la nani.
 
Back
Top Bottom