mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 768
Eeewaaa haya kweli matunda damu.
hivi kizungu yanaitwaje?
Eeewaaa haya kweli matunda damu.
Hay kule tanga yanatoka lushoto wasambaa wanayaita magoghweJina jingine ni matumante kwa wanaotoka kanda ya kaskazini ila ya kule yapo kama haya[emoji116] [emoji116] View attachment 446258
Au kwa kiswahili magogweEeewaaa haya kweli matunda damu.
hivi kizungu yanaitwaje?