Matumizi yetu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi yetu Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Stig, Jul 15, 2011.

 1. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 882
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Wakati huu tunapopanga bajeti ya serikali, na tunapojiandaa na raha za weekend, tujiangalie tena uwezo wetu wa kutumia fedha zetu chache na tujilinganishe na wenzetu;

  1. Wajerumani: Allianz Stadium, Munich, Imejengwa kwa EURO 286 Millioni. Linabeba watazamaji 68,000.
  2. Wamarekani: Boeing 747 Jumbo Jet, Inanunuliwa kwa 300 Million USD. Inabeba abiria 440
  3. Wakorea: Supertanker la mafuta linauzwa kwa 150 Million USD. Linabeba tani 200,000 za mafuta
  4. Watanzania: Tumejenga ofisi ya BOT kwa 300 - 500 Million USD! Linabeba wafanyakazi kadhaa

  5. Wamarekani:
  Bei ya nyumba ya Britney Speers, 9 Million USD. Inabeba familia moja
  6. Watanzania: Tumekarabati nyumba ya gavana kwa USD 2 million! Inabeba familia moja

   

  Attached Files:

Loading...