Matumizi yangu October

KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,500
2,781
Wote tuna misalaba tunayoshindwa kuitua
Screenshot_2022-11-04-10-03-54-58_68a57fb6e29971b75ab6e4126eda3ee0~2.jpg
Screenshot_2022-11-04-10-03-05-85_68a57fb6e29971b75ab6e4126eda3ee0.jpg
 
Vocha efu 13?

Nipe siri ya mafanikio mkuu, kutoboa mwezi na vocha ya afkumi na tatu
Haha soma vizuri mama ni dola elfu kumi na tatu sawa na karibu millioni thelathini za kitanzania

Mwenzetu sijui hata anaishi wapi

So atupe siri ya mafanikio anafanya biashara gani asee
 
Haha soma vizuri mama ni dola elfu kumi na tatu sawa na karibu millioni thelathini za kitanzania

Mwenzetu sijui hata anaishi wapi

So atupe siri ya mafanikio anafanya biashara gani asee
Yan kwa rate kavu tu ya 2300 ni milioni 29 na laki9,, hahahaaaaa uwii sina uhakika kama kweli ziko katika USD..

Ama iwe ni Tsh then hiyo $ imekaa kimbwembwe… ama sivyooo huyo atakuwa ni Mo Bakhresaaa
 
Haha soma vizuri mama ni dola elfu kumi na tatu sawa na karibu millioni thelathini za kitanzania

Mwenzetu sijui hata anaishi wapi

So atupe siri ya mafanikio anafanya biashara gani asee
Nimecheka sana
 
Vocha efu 13?

Nipe siri ya mafanikio mkuu, kutoboa mwezi na vocha ya afkumi na tatu
Nmeunga kifurushi cha wafanyabiashara, elf30 kwa mwez, nillipia mwezi wa kabla, wakachelewa nitumia
 
Back
Top Bottom