Ujumbe kwa filipo?
Uswahili na stress za maisha.....
Shikamoo Mkuu..!!
eti 'kuliko kukupa wewe, bora nikampe jogoo aidonoe'
Status za watsap zina onesha real side of people....that ugly side.. kuna Wengine heshima yote inapotea kwa status za watsap..
Ni stress na ushamba...hasa ukimuacha mwanamke akawa anabadili status kutwa..hadi huruma...
Uswahili na stress za maisha.....
Nimecheka sana hapa...mweeh!
Kuna picha moja inasema utabadili misemo watsap lakini haitakusaidia.....nmeipenda hy
Status za watsap zina onesha real side of people....that ugly side.. kuna Wengine heshima yote inapotea kwa status za watsap..
Nakubaliana na wewe kabisa....ila wanaofanya hivyo hawagundui kuwa wanayafanya maisha yao tamthilia,kila kinachoendelea katika maisha yake watu wanakuwa wanajua..
Now nimeona how cruel you are, kumbe uliniacha ili niumie eeh?Tamthilia ya kujichoresha...na Unaweza achana na mtu akajifanya hajaumia..hadi uingie watsap ndo unagundua kuwa kumbe maumivu yalikuwa makubwa sana...ni status kila baada ya saa moja...
Ni stress na ushamba...hasa ukimuacha mwanamke akawa anabadili status kutwa..hadi huruma...
Niliona hii namba,mshkaji mmoja akapiga hiyo simu kidume kikapokea. Akaulizwa kwanini umeweka hilo lipicha?Akajibu Samahani ya kejeli. ..Mshkaji akamsema sana akamwambia aitoe,Jamaa likasema litumiwe hela ya kununua bundle ndio litatoa. ...
Kweli walimwengu wana tabu. ....
Tamthilia ya kujichoresha...na Unaweza achana na mtu akajifanya hajaumia..hadi uingie watsap ndo unagundua kuwa kumbe maumivu yalikuwa makubwa sana...ni status kila baada ya saa moja...
Mmmmh watu wengine, sasastatus na picha nyingine ni hatari hebu sevuni hiyo namba halafu muanmuangalie 0754559095
muone sodoma na gomola yaja jamani!