Matumizi ya simu katika Mahusiano

kama ni mimi naforward hiyo msg kwa simu ya mshikaji then namwambia mshikaji anifowadie tena same msg, na anitumie msg nyingine inayosema SAMAHANI MKUU NILITAKA NIMTUMIE SHEMEJI YAKO HIYO NIMEKUTUMIA WEWE, SI UNAJUA TENA MAJINA YAMEFATANA, NIWIE RADHI, VIPI MAMBO MENGINE YANASEMAJE LKN? SHEMEJI HAJAMBO?)

Halafu namwambia mpenzi wangu nimekufowadia msg ya mshikaji kanitumia alikosea alikuwa anamtumia mpenzi wakei uone watu wanavyodanganya ktk mapenzi, hata akibisha nikifika home namuonyesha zile nilizotumiwa.

N:B wakati huo Sent items nyeupeee.

hii BALAA:becky::becky:
 
Ahahahahahahaaaaaa...hizi thread zingine zina reveal ID za watu......yaani hii issue nimetoka kuizungumzia jana tu na leo ishafika hapa.....duuuuh watu kweli hawawezi kujificha kama nia yao ni hiyo

Watch your pattern....it's very easy to detect
 
kama ni mimi naforward hiyo msg kwa simu ya mshikaji then namwambia mshikaji anifowadie tena same msg, na anitumie msg nyingine inayosema SAMAHANI MKUU NILITAKA NIMTUMIE SHEMEJI YAKO HIYO NIMEKUTUMIA WEWE, SI UNAJUA TENA MAJINA YAMEFATANA, NIWIE RADHI, VIPI MAMBO MENGINE YANASEMAJE LKN? SHEMEJI HAJAMBO?)

Halafu namwambia mpenzi wangu nimekufowadia msg ya mshikaji kanitumia alikosea alikuwa anamtumia mpenzi wakei uone watu wanavyodanganya ktk mapenzi, hata akibisha nikifika home namuonyesha zile nilizotumiwa.

N:B wakati huo Sent items nyeupeee.

Kha..... hahahahaha
Kazi ipo!!!
Kumbe sio Asprin peke yake....
 
jana nimekumbwa na hii kitu

nilivyoulizwa nilipiga chenga moja kali kinyama. lakini kwa mbali oxygen ilikuwa haitosh
 
Ahahahahaah usiombe ukakumbwa na huo mkasa, kuna rafiki yangu mmoja alihamia ofisini(nyumba za kota zilizo jirani na ofisi) baada ya kumtumia mkewe meseji kimakosa ya namna hiyo. Palichimbika hadi ishu ilivyoamuliwa na wazee wenye busara, lakini ni baada ya jamaa kusota ofisini kwa muda wa wiki nzima, ilibidi nguo tumpe lakini sehemu ya kulala ilishindikana baada ya majirani kupigwa mkwara wa nguvu na mke wa jamaa! Ilikuwa ni soo, usiombe ikakukuta hii kitu!
 
pole sana kaka, kwani watoto wa age hiyo ya 18-19 ndo huwa hawaelewi kabisa hilo somo bora mtu mzima mtaongea kidogo na yakaisha!By the way, hivi nyani<abiziani> hivi vitoto vya age hiyo huwa mnavipataje, mi nimejaribu weeeeeeeeee lakini hola!(mungu anisamehe bure)
sasa Mungu akusamehe kwani ni dhambi? si mtoto ashazidi miaka 18 man. mimi ni ticha wa primary thats y ni easy kuwanasa.. njoo tufundishe huku japo mishahara midogo ila ........sitagoma
 
mmmmmmh!tusije kufungwa mwalimu kwa case ya ubakaji?
 
Mapresha yote, mauongo yote, mahangaiko yote kubali yaishe ACHANA na Nyumba ndogo. Hiyo ndio price ya nyumba ndogo never be settled!!
 
Duuh!!! sikutegemea kuona mawazo ya namna hii. Kumbe hakuna mjanja Duniani, mko fit kwa maujanja wakuu.
 
kama ni mimi naforward hiyo msg kwa simu ya mshikaji then namwambia mshikaji anifowadie tena same msg, na anitumie msg nyingine inayosema SAMAHANI MKUU NILITAKA NIMTUMIE SHEMEJI YAKO HIYO NIMEKUTUMIA WEWE, SI UNAJUA TENA MAJINA YAMEFATANA, NIWIE RADHI, VIPI MAMBO MENGINE YANASEMAJE LKN? SHEMEJI HAJAMBO?)

Halafu namwambia mpenzi wangu nimekufowadia msg ya mshikaji kanitumia alikosea alikuwa anamtumia mpenzi wakei uone watu wanavyodanganya ktk mapenzi, hata akibisha nikifika home namuonyesha zile nilizotumiwa.

N:B wakati huo Sent items nyeupeee.

si zile sms zinaandika muda uliotuma? kama huyo mdada ana akili zake atagundua sms yake ilifika kabla wewe hujatumiwa zile zako. bado itakuwa imekula kwako
 
Hii ni simple.
Baada ya kujua kuwa umelikoroga unaweka DIVERT settings kisha unamwambia mshikaji wako kukupigia simu. Sasa ukifika kwa Bi mkubwa unamwambia kuwa uliweka diverts ili ukitafutwa na ndugu,jamaa na marafiki au ukitumiwa sms endapo cm yako itakuwa busy basi ziende kwake, lakini ulisahau kumtaarifu juu ya settings hizo.Wakati huo unamuonesha call kutoka kwa mshikaji wako kuwa alikuwa anakuomba samahani kwani kakosea kukutumia hiyo sms.
Hiyo imekaa vp? Lazima ieleweke hata ukizingatia kuwa wanawake wengi hawajishughulishi na kuzijua functions mbalimbali za simu zao!
 
Hapo umesema FP.Ila Nyamayao alishawatahadharisha inategemea na mkeo yukoje. hamjastuka wanawake hawatoi stories hapa,ili msijue maujanja.Kuna issue unam-bamba mtu anakaa KIMYAAAA!manake hakuna hata pa kutokea.In the end of the day,kwenye hizo infidelations,its all about you9namaanisha your body,mind,and spirit). kupanga ni kuchagua!
 
Hii ni simple.
Baada ya kujua kuwa umelikoroga unaweka DIVERT settings kisha unamwambia mshikaji wako kukupigia simu. Sasa ukifika kwa Bi mkubwa unamwambia kuwa uliweka diverts ili ukitafutwa na ndugu,jamaa na marafiki au ukitumiwa sms endapo cm yako itakuwa busy basi ziende kwake, lakini ulisahau kumtaarifu juu ya settings hizo.Wakati huo unamuonesha call kutoka kwa mshikaji wako kuwa alikuwa anakuomba samahani kwani kakosea kukutumia hiyo sms.
Hiyo imekaa vp? Lazima ieleweke hata ukizingatia kuwa wanawake wengi hawajishughulishi na kuzijua functions mbalimbali za simu zao!

teh......teh......te.......!we bourgeoisie ushawahi fanya hii kitu?good obsevation!!!!!!!!
 
Wandugu yalinikuta, mtu alisema kishaachana na mtu aliekua naye afu wiki chache baadae ananitumia msg mie ya kumwambia huyo x kwamba amechoka waachane,,mie :confused2: ,,afu akatuma msg ati hiyo sio msg yako...hahaaa watu jamani mmh...nikashukuru mungu nikamrudishia hiyo msg yake afu nikamwambia mie sijakosea namba kwishney!!!
 
Wanandugu,
Jamaa mmoja kakuta sms za mapenzi katika simu ya mkewe.Akaamua kufuatilia na kukuta kwamba mkewe keshatembea sana na jamaa.Isitoshe alim suprise mkewe na namba ya simu pamoja na sms zote na mke hatimaye kukiri kufanya hivyo.jamaa amejaliwa kuzaa na mkewe watotato 2 na si wa magendo ni photocopy.Mnamshauri nini?
 
Back
Top Bottom