Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
tatizo lako ni mwoga!..kesto tatu unaanza mbwembwe mara ooh!..''WASHKAJI NOMA HOME WATAMAIND,WATANIFUNGIA MLANGO...''
watoto wa mama mna matatizo
Mtoto wa Mama? Hadumishi MILA kwani?
tatizo lako ni mwoga!..kesto tatu unaanza mbwembwe mara ooh!..''WASHKAJI NOMA HOME WATAMAIND,WATANIFUNGIA MLANGO...''
watoto wa mama mna matatizo
Mie yangu huwa naiacha tu anachezea anavyotaka, anajichotea credit mwenyewe, na ya kwake wala hana shida yeyote, mkizoeshana namna hii mnakuwa haina mikwaruzo, kuna kipindi alikuwa hana simu alitumia simu line yangu for 1 week na wala hakukuwa na tabu yeyote ile

anadumisha lakini kuna vizingiti chungu mzimaMtoto wa Mama? Hadumishi MILA kwani?
Na ndo maana nikasema it depends, and in order to be safe, dont try this at home.Carmel hii njia yako ya kujievalute nimeipenda thou ukiwa na mume kama Iribin au Goeff utahitaji kamoyo ka kichina hahaaaaaaa!!!!!! wapwa msinitungue tafadhali!!!!
..........hamna kitu hapa!Mie yangu huwa naiacha tu anachezea anavyotaka, anajichotea credit mwenyewe, na ya kwake wala hana shida yeyote, mkizoeshana namna hii mnakuwa haina mikwaruzo, kuna kipindi alikuwa hana simu alitumia simu line yangu for 1 week na wala hakukuwa na tabu yeyote ile
Na ndo maana nikasema it depends, and in order to be safe, dont try this at home.
jana nilimwambia Geoff kwamba babu yangu alinimaindi nilipomwambia kwamba nimekonfesi, akasema atanipa radhi. ikabidi nimwambie NIKO TAYARI KUDUMISHA MILA.Hapa naona HAKUNA MDUMISHA MILA!
why?..........hamna kitu hapa!
mmmh MJ1!!!! unakuwa umeshiba kweli kweli zaidi ya kutosheka!!!
jana nilimwambia Geoff kwamba babu yangu alinimaindi nilipomwambia kwamba nimekonfesi, akasema atanipa radhi. ikabidi nimwambie NIKO TAYARI KUDUMISHA MILA.
akanigongea senksi palepale!!!
Afu na wewe Magdalene, simu yako unaweza mwachia yule bf wako mwenye wivu kama jogoo?
du😀Dawa ya moto ni moto SECURITY CODE mpaka kwenye phone book.
Dawa ya moto ni moto SECURITY CODE mpaka kwenye phone book.
hehehe!why?
Chimunguru wewe ni He? samahani kwa kukuuliza swali la nguoni.
Hapa naona HAKUNA MDUMISHA MILA!
hahaaa anachabo hadi PM humu zangu!!!! lol!!! kazi kweli kweli!!! namwachia atakayoyakuta humo ayahimili!!!
daima MBELE!.....n....a MWIKO!Ukirudi home mtwange babu na kesto mbili baridi kwa ajili ya afya yake! Mwambie wajukuu zake tunafuata nyayo, katu hatutarudi nyuma! MILA iz zea to STAY!
Dawa ya moto ni moto SECURITY CODE mpaka kwenye phone book.
kuna hizi simu za kisasa zina finger print access code!.fone zina vimbwanga eeh....