Matumizi ya simu katika Mahusiano

Duuh ex anaendelea kula kisela. Amka kiongozi. Ila kushika simu za wapenz wenu na kuzichunguza matokeo yake ndo hayo, utawaacha wangapi??
 
Duuh ex anaendelea kula kisela. Amka kiongozi. Ila kushika simu za wapenz wenu na kuzichunguza matokeo yake ndo hayo, utawaacha wangapi??

kwa hio usiposhika si ndio watakula hadi mifupa na wewe upo upo tu unakaa kizembe
 
kwa hio usiposhika si ndio watakula hadi mifupa na wewe upo upo tu unakaa kizembe

nikweli, but what matter is your goal with huyo mpnz wako, kama kuja kuoana sawa unahaki lakn kama kukua tu thn mnaachana bora usichunguze sana.
 
nataka kumuoa ndio maana

Basi inatakiwa umuweke chini na kuyaweka sawa yale ambayo mnadhan hayataleta hofu ya usaliti juuyenu then muyafanyie kazi ili kuondoa migongano baina yenu, "NEVER SAY GOODBYE IF YOU STIL WANT TO TRY"...
 
Basi inatakiwa umuweke chini na kuyaweka sawa yale ambayo mnadhan hayataleta hofu ya usaliti juuyenu then muyafanyie kazi ili kuondoa migongano baina yenu, "NEVER SAY GOODBYE IF YOU STIL WANT TO TRY"...

asante mkuu wangu kwa ushauri nitazingatia sana
 
Labda sms ilikuwa inasema 'baby thanks giving me another chance to explore your naked bady.it waz a nice game,can we have some more fun next w/end?'mh.
 
Labda sms ilikuwa inasema 'baby thanks giving me another chance to explore your naked bady.it waz a nice game,can we have some more fun next w/end?'mh.

unauchoma mtima wangu ndugu...
 
Appreciate my friend Mtalingolo.. thank you for the advice and hospitality
 
Last edited by a moderator:

Hayo ya ex wake yasikutishe mkuu, alivyofanya ni sahihi kabisa maana hataki uumie, we endelea na mipango yako ya ndoa.
 
dah!! u mean nimeingia choo cha kike? let say ingekuwa wewe ungefanya nini.....? i really need your support guys

Mimi hata simu zao sigusi,kwanza siku hizi ni demuz chache sana wanapopata kidume kipya wanatema waliotangulia, tunyamazie tu hapo kwa sababu ingawa inauma lakini ndio ukweli uliopo.

Hiyo ya marafiki tuiache, hebu nenda kwenye bar zenye Guest kuanzia saa nne asubuhi jifanye unapata supu kisha ushuhudie wake wa ndoa napete zao wanavyojizamisha vyumbani, tena bila was na pete kaining'iniza hewani, poleni cc wanaume jamani.
 
The same same thing once happened to me! Nikamwambia kama anataka kuwa na mimi abadili namba ili huyo X asiipate! Akabadili. Baada ya miezi 3, nikashika simu yake ghafla. Nikakuta kambip X wake na inaonekana huyo X hakuwa anaikumbuka namba ya huyo msichana, so akawa anauliza we nani? Msichana akajifanya kumdanganya, ila wakawa wanachat sana bila ya jamaa kujua anachat na X wake na msichana akawa anaenjoy sana kuchat.

Mpaka hapo, mimi sikua najua anachat na nani, coz nilipouuliza aliniambia alikua anachat na mtu ambae msichana alikosea namba wakati wa kubip, nikaona the whole thing ni utoto. Siku ya siku, nikaona jamaa amegundua af bint anaendelea kunificha, mwisho nikagundua alikua ni X wake. Nikachukua simu ya bint kutaka kumpigia, bint alikua tayari tupigane tuuane kuliko nimpigie msela. Mwishowe kimabavu nikampigia msela, nilichokipata, sitamani hata kukumbuka.

Nikachunguza kwa marafiki za msichana, nikaja kugundua kuwa yule msichana alikua anampenda sana X wake na hatakaa apate mwanaume kama yeye! Na walishafanya mengi sana ambayo sio rahisi kumsahaulisha. Nikajivua gamba fasta, maisha yakaendelea. Be carefull.

 

...aheri ya nusu shari kuliko shari kamili...ana busara sana mwanamke huyo.
 
Pole sana kijana. Kuna mambo machache unatakiwa uyatafakari:

Je wewe unao maex wangapi?
Je wakikutumia sms utapenda huyo msichan wako azisome?

Ni wazi hukumkuta na bikra yake hivyo kuwa na ex wake ni jambo ambalo umelijua mapema. La msingi kama mnataka kuoana na amekueleza kuwa hiyo sms ni kutoka kwa ex (yaani walishaachana) wake, ni kumweleza kuwa awe tayari kuachana nao kabisa na wewe uwe tayari kuachana kabisa na maex wako kabisa. Isije kuwa mkuki kwa nguruwe!

Waswahili husema hawala hana........!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…