Matumizi ya simu katika Mahusiano


motto ya huyo dada ni ''no money, no love'' ...pole anakupotezea muda, hakufai!!
 
Comrade ukiona uhusiano wako na wa mwenzako girl/boy friend hauna migogoro ujue hapo hakuna uhusiano imara sahau yaliyopita msamehe mwenzako
 
Nawe iblock ya kwake....mpaka utakapohisi kuzungumza nae

 
chukua namba nyingine hata ya rafiki mrushie salio, no sweet without sweat!
 
hilo nalo swali?? Au huamini kwamba anakutumia tu, unataka tukuthibitishie!!
 
akikublocck jua yupo na mwenzako. anayempa raha pesa, sijui salio etc ndie anayepata mambo.

mapenzi ni katika shida na raha.

pole, anza kumchunia inaonekana anajua wewe umemfia na huwezi kumuacha labda akuache wewe.

kaa fikiria nani anasukuma uhusiano wenu uwepo hadi leo, utajikuta ni wewe. kama hivyo songa mbele

 

huyo ana miaka mingapi 16 au? coz inaonekana ana akili ya kitoto ya kukasirika mara kwa mara na kususa aaahhggghh😡 msichana/mtoto kama huyo siwezi ku last nae hata dakika 10..anataka umrushie hela aongee na mabwana zake..kua mwangalifu
 
mapenz ya xaxa ni pasua kichwa ..nashukuru kwa kumpata mwenye upeo ambaye mimi hunirushia vocha na kunisaidia wakati nikhitaji pesa...hahhaha kuwa na girl mwenye skilz. chukua chako mapema

 
Eti ? Kama picha matangazo trela kila kitu visha pita sasa bado tu huja ona ilo picha kaka hapo hupendi tuna kushauri achananaye huyo hakufai kama unataka kuumia moyo endelea naye uta jutia ohoo?
 

hahahahahahahah aise MEKU kama ni mimi namdelete kabisa kwa simu yangu na akinipigia tu " We nani na unataka nini?" na baada y a hapo nablock kabisa simu yake na kama ikiwezekana naongea na voda/airtel/zantel/tigo hiyo simu yake isitoke kabisa labda abadili number....mapenzi siku hizi hayapo kihivyo ni ushamba mtupu....mimi demu akinizingua siku moja sina muda wa kupoteza nae nasepa kutafuta mahela
 
tupa kule vuta totozi nyingine, kwani huyo demu wako ana umri gani?? Kisije kikawa kitoto cha miaka 17
 



Hapa utakuwa umepata jibu
 
Kama unamwamini kwa nini kila akirudi uanze kucheck sent sms,inbox,received call and others mi naona haijakaa sawa kufanya hivo ni kutokuwa na uaminifu.
 
Watu mna kazi. . .
Mifuko, vipochi na wallet hamsachiani? Maana vimassage vya kuandika na namba za simu ndo huhifadhiwa huko.
 
Watu mna kazi. . .
Mifuko, vipochi na wallet hamsachiani? Maana vimassage vya kuandika na namba za simu ndo huhifadhiwa huko.

afu ukiagree lile ombi langu sitataka unisachi afu kumbe ulimaanisha Bishanga?
 
afu ukiagree lile ombi langu sitataka unisachi afu kumbe ulimaanisha Bishanga?

Bishanga aringe?

Uzuri ni kwamba wangu sihitaji kumsachi wala yeye hahitaji kunisachi maana kila mmoja anamwamini mwenzie. Wewe wa kusema kabisa usisachiwe mapemaaaaa unatia mashaka.
 
Kitendo hiki kinafanywa sana na wanawake, sio tu hakijakaa vizuri bali ni ukosef mkubwa wa adabu yani mume na mke mnagombania simu ya mkononi ili mmoja wapo asome meseji? Kamon hiki pia ni chanzo cha ugonvi usokuwa na msingi na ata kupelekea kuvunja ndoa,
jamani ebu tujiepuke na hii mizaa pia pressure za bure kwani ni vitu vinavyoepukika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…