Matumizi ya simu katika Mahusiano

Ktk mapnz au baina ya wapenz mawasiliano ni muhimu ndio maana hata kabla ya cm kulikuwa na kuandikiana barua,so km mnapendana kweli na means ya mawasiliano ipo basi kuwasiliana ni muhimu,Cha msingi kila mtu ana namna ya kuhandle situation km mm sitaki kushika cm ya mtu yani hata nikigundua iko karibu na nilipokaa nahama kochi kbs coz najijua moyo wangu wa big hata joto la jua tu uanayeyuka,so bad lol!
 
mi kushika nitashika tu na nitakayoyakuta nitapambana nayo, ananijua lakin balaa langu
 

yani wacha kabisa kushika nashika then nitakalolikuta kufa hafi ila chamoto atakiona kwann uhishi kinafiki na mtu.kama anaweza kupiga chakacha lazima atalicheza bila kupenda muda wa kupotezeana wakati ulishapita enzi hizooo
 
PIA USIISHIE KWENYE SIMU TU AKIRUDI MUULIZE NJIANI KAONGEA NA NANI NA UDAI UDHIBITISHO. KAMA NI KAZINI FANYA HIVO HIVO. AFU IKIWEZEKANA MUEKEE MPELELEZI UJUE KILA AFANYALO. PIA MWAMBIE KILA AKITONGOZWA NA KUKATAA AKUPE LIPORT, KWA SIKU NA WEEKI. uKIWEZA HAYO THEN UNAYO HAKI YA KUPEKUA SIMU YAKE YAKIKUSHINDA JIULIZE KAMA NI SAHIHI KUMCHUNGUZA MWENZIO. NA KAMA MTU HUMWAMINI KWA NINI UNAYE MAAANA USIPOKUTA USHAHIDI UTASEMA KAFUTA. HESHIM MWENZIO NA ELEWA HUWEZI KUMCHUNGA MWANADAMU MWENZIO. WAKIAMUA KUTOTUMIA WASILIANO YA SIMU UTAJUAJE? NDIO MAAANA MWASHAURIWA KUWA ABOVE 18 KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MAPENZI AMBAYO NDO RAHA YENYEWE
 
uaminifu ni mtu mwenyewe. Hata ukimfungia ndani atatembea na mlinzi, au mdogo wako unaeishi nae.
Kucheki simu haisaidii, atatumia e-mail, facebook PM's, n.k.
Cha muhimu ni UAMINIFU TU.
 
Mpenzi wangu yupo mbali
asipowasiliana na mm for 2dys lazima nitajiuliza why?
mawasiliano simu ndo kitu cha muhimu kwa karne hii
kama unapresha hunahaja ya kugusa sim ya mwenzako
maana..sim ina mambo mengi sana.
 

We endeleza tu hayo mautundu kitandani ya romance then ukiingia pia unakuwa mtundu wa kugusha pande zote,achana na mambo ya kutafuta sijui dawa mwisho hutaharibu kabisa utapata limkono a,balo haina faida au halidindi
Sio wanawake wote wanapenda ,madude makubwa,wengi wanapenda kuchezewa zaidi
 

ni kama unataka kumwambia SIZE DOES NOT MATTER?
 
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
 

mimi nataka kuwa nyumba ndogo ila heshima kwa mke mwenzangu itapewa kipaumbele hana adabu tu huyo mloge!
 
Hapo MR wako alikosea aisee, pole sana Laussane.

Hakuna cha simjui hapo ni watu wako na mahusiano tena MR wako ana makosa mawili, kwanza kujihusisha na mahusiano nje ya ndoa na pia mahusiano na mwanamke mshenzi wa barabarani asie na adabu wala hekma ( haimaanishi kuwa na mahusiano na wa hekma inaruhusiwa!).

Kama haujali kuendelea kushea mshedede piga kimya tu ila kama unajali nafsi yako na unaheshimu value yako anza kufikiria upande wa pili wa shilingi ndugu yangu. Kaa jua mko wawili au zaidi
 
na kweli yeye ndo anakula. C ajabu matunzo anayopata kiboko.

Anyway inawezekana ni nyumba ndogo(tena ya kiswahili,hajui kula na kipofu).
{Au wachönganishi. . . Ila mmmh}

ila ungemuuliza kati yako wewe mke na yeye hawara nani m*laya?

Kwani wewe ni golikipa? Kama ni kweli pole mambo ya nyumba yako yashafika nyumba ndogo.

Ingekua imenitokea mie ningetulia nifanye uchunguzi kimya kimya huku Nakihifadhi namba za mwizi wangu na kumpiga sound mume avifundishe adabu vihawara vyake.
 

Mpe MR. masharti ya masaa 24 akiri kosa lake, akuombe radhi, awachane na huyo wa kuja la sivyo unafungasha na kuondoka.
Hiyo ni Plan B, Plan A ondoka hivi sasa, airudi hupo.
 
Pole dada,ila hata mr nae hana heshima,mke ana hadhi ya kipekee bana,wanaume wakati mwingine sijui tunakuaje!
 
mind you .........kukuambia ukweli ni ngumu hapo akili changanya na zako..............

 
Mpe MR. masharti ya masaa 24 akiri kosa lake, akuombe radhi, awachane na huyo wa kuja la sivyo unafungasha na kuondoka.
Hiyo ni Plan B, Plan A ondoka hivi sasa, airudi hupo.
mtu mzima hatishiwi nyau anajua utarudi tuu
 


Ningekuwa mi ndo huyo Mr, nampiga chini huyo smali house mara moja. Hawezi kunikosea heshima kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…