Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Kuna mawili nikiona mke wangu ananichukulia poa..kwanza nitaona kama na yeye anafanya tena zaidi yangu so ananiinjoi tu...akikasirika nitamwelewa hasa kama huyo mtu nina flirt nae...Asante Sangara kwa kunielewa. I fail to understand hawa wenzangu wanaosema watamezea. Mimi kwa kweli mume wangu anajua what am capable of kwa hiyo hata kama ana cheat nina hakika anawapa limits hao vimada wake kwani so far sijawahi kutana na huo upuuzi na nikikutana nao walahi patachimbika.
Emu kuweni honest nyie wanaume; mkeo kama anakuwa anatabasamu tu anapukutana na vitu kama hivyo will it make you stop??? Will it make you love her more??? WOnt it make you love the other woman more since you know that your wife doesn't care??? Wont it make you a serial cheater??
Kwa experience yangu wanaume wenye wanawake wapole ni viwembe balaa kwa sababu wapo kwenye conducive environment.
Hakuna mambo ya nikipata mke kama wewe, ili uwe unaacha hizo sms kama hizo kila siku, Kwanza patachimbika ndio mambo mengine yafate baadae.
Dear Hny
sorry leo sitoweza kuja niko kwenye period jamani alafu si unajua na hasira zangu sijui hata kutakalika nikija
mbona ukunjulisha mapema kabla ya kuchukua chumba..sorry again
luv u
Kuna mawili nikiona mke wangu ananichukulia poa..kwanza nitaona kama na yeye anafanya tena zaidi yangu so ananiinjoi tu...akikasirika nitamwelewa hasa kama huyo mtu nina flirt nae...
Dear Hny
sorry leo sitoweza kuja niko kwenye period jamani alafu si unajua na hasira zangu sijui hata kutakalika nikija
mbona ukunjulisha mapema kabla ya kuchukua chumba..sorry again
luv u
Nawashauri wana ndoa, msiwe wepesi kufanyia maamuzi msg za simu. Binafsi Nimewahi kupatwa na incidents 3, nikopokea msgs za aina hiyo kutoka kwa 'wapenzi' nisiowajua kabisa. Yawezekana walinitumia kwa makosa (maana sizijui hizo namba) ama kwa makusudi.
Msg kali sana hyo. Lazima yapatikane maelezo ya kunielewesha halafu sijui kama nitauamini uongo wake.
<br />Nawashauri wana ndoa, msiwe wepesi kufanyia maamuzi msg za simu. Binafsi Nimewahi kupatwa na incidents 3, nikopokea msgs za aina hiyo kutoka kwa 'wapenzi' nisiowajua kabisa. Yawezekana walinitumia kwa makosa (maana sizijui hizo namba) ama kwa makusudi.
Na kama huna uhusiano na huyo mtuma SMS tatizo liko wapi. Si mnaongea na mnaelewana hasa kama mkeo anakujua vizuri atajua when you are telling truth or not.
Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... Soln kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"
<br />Umeona eeh. Kwa kweli asitegemee amani baada ya hiyo meseji; lazima atoe maelezo ya kina na yaloyonyooka. Na bado the sender will be in the list for further investigation.
Umeona eeh. Kwa kweli asitegemee amani baada ya hiyo meseji; lazima atoe maelezo ya kina na yaloyonyooka. Na bado the sender will be in the list for further investigation.
<br />Tukiachana na incidence za meseji ya bahati mbaya (ambayo ni rare) je kama kweli huyo ni kimada wako; will you understand when your wife smiles??? Will it make you stop cheating?
Umenifurahisha kwani niwachache wahivyo hivi hayo maskil umeyapata hapa jf au katika vicheni pati??Nakupa big up huyo uliyenaye anaraha zote maana kwangu ikikutwa kama yahivyo dah!najua mwenyewe kwani simu itabidi nihesabu sina simu hata kama itakuwa BB tuch!slide vyote vitaishia hapo nakuwa na budget mpya ya kununua simu!!lol!!Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... Soln kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"
Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... Soln kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"
Haya basi utapiga hayo makelele will that stop him from cheating huoni busara inahitajika zaidi kuliko ukali.
mnaonaje tuakaanzisha chama cha wanaume wanaopigwa na wakezao(CHAWAWA) ili akichapwa mtu na ushahidi upo basi tunapeleka malamiko na huko naomba kuwepo na kamati ya nidhamu kama TFF ili tupunguze madaraka ya mwenyekiti na katibu wake washugulikie ndoa zilizoachana