kweli kabisa... harafu ukirara tena na simu ikiria anaweza pokea tena au sio... we n'tu umerara sarama kabisa harafu kwanini uamshwe, hiyo nndio hari harisi lafiki yanguwewe sasa kama unatakiwa kwenda sehemu harafu kikazi au umelala ndo sms ikaingia sasa akishasoma si anakuamsha jamani uwahi au
Wewe umeshasema simu "yako" then mkeo asome mesage zako? Za nini?? Hata kama ni biashara yeye inahusu nini?? Ndio maana ikaitwa simu ya mkononi maana yake wewe muhusika tu ndo unaweza kuitumia wakati wowote na muda wowote mwingine haruhusiwi.
mimi mwanamke ila siku nikikukuta unasoma au kukagua simu yangu ndio mwisho wa uhusianao wetu,lini tutastaarabika,kwani ni simu ya ndani hiyo.sigusi yako usiguse yangu.
Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu
Je wengine mnafanya hivyo au ni marufuku kupokea au kusearch chochote au akusomee message zilizo ingia?

Zima cmu, chomoa betri, msg huwa haiendi.
Pia funga mlango fasta kama uko wazi:lying:
Poleni na mihangaiko ya wiki mzima wana JF. Ni hivi nina mpenzi ambaye tuna muda wa mwaka na miezi 9 sasa toka tuwe katika mahusiano lakini kuna tabia moja ambayo ameianzisha hivi karibuni baada ya kwenda chuo, ameniambia kwamba nisiwe nampigia simu wala kumtumia text mpaka yeye atakaponiambia na kama nataka kuongea an yeye kabla sijampigia basi nimpigie kwanza rafiki yake ampe taarifa ndipo yeye atanipigia mimi au atanitumia text. Nampenda sana mpenzi wangu bt je wakuu kwa mtindo huu hakuna njema inayonitafunia mzigo wangu? Naomba mawazo yenu kabla sijachukua uamuzi wa kuachana nae, manake mapenzi yanautesa mtima wangu. Jioni njema wapendwa!!!!!

Watu wanakula mzigo huo, shtuka.......

Anasukumiwa huyo.. cha kufanya nawewe mpe masharti magumu zaidi ya hayo aliyokupa wewe halafu kama una rafiki yako wa kike wa kawaida mwambie kabla hajakutext wala kukupigia aanze kumtaarifu yeye kwanza.. maana K na K zina asili ya kutopatana just by nature,
Thankx mkuu, kwahiyo wewe unanishauri nini? Niachane nae au nitafute njia ya kusawazisha hii kitu?
the decision remain to be yours lkn kwa dizaini hiyo its good to make decision now that later, u might end up being frustrated and regret for the time u wasted
Poleni na mihangaiko ya wiki mzima wana JF. Ni hivi nina mpenzi ambaye tuna muda wa mwaka na miezi 9 sasa toka tuwe katika mahusiano lakini kuna tabia moja ambayo ameianzisha hivi karibuni baada ya kwenda chuo, ameniambia kwamba nisiwe nampigia simu wala kumtumia text mpaka yeye atakaponiambia na kama nataka kuongea an yeye kabla sijampigia basi nimpigie kwanza rafiki yake ampe taarifa ndipo yeye atanipigia mimi au atanitumia text. Nampenda sana mpenzi wangu bt je wakuu kwa mtindo huu hakuna njema inayonitafunia mzigo wangu? Naomba mawazo yenu kabla sijachukua uamuzi wa kuachana nae, manake mapenzi yanautesa mtima wangu. Jioni njema wapendwa!!!!!
Thankx mkuu, kwahiyo wewe unanishauri nini? Niachane nae au nitafute njia ya kusawazisha hii kitu?
Pole kwa hilo mpendwa,
Huyo hakupendi kwani kwa umpendae huwezi kumwekea sharti katika swala la mawasiliano kwani anaweza kukumiss any time akapenda kukupigia na anaweza kupatwa na tatizo akataka akujulishe sa kama ni usk na huyo rafiki yake kazima itakuwaje?
huyo atakuwa na mwingine ambaye amemkeep busy hata hampi mda na ameogopa kumwambia ukweli kuwa alikuwa na mtu so anaogopa usijekumpigia wakati akiwa nae
mkuu pole sana..
Cha msingi mkalishe huyo binti chini, usikimbilie kumpiga chini. Mwambie hufurahishwi na hiyo tabia, na kama hayuko tayari kubadilika, basi mwambia UAMUZI utakaochukua..Mkumbushe mlikotokea, na pia jaribu kuangalia msimamo wake kwenye uhusiano wenu.
Kumbuka hakuna aliye-perfect..jaribu kuelewana naye..Usiwe na haraka, usije ukajikuta wewe ndo mwenye matatizo