Duh!!na hizi xtreme sms c utakesha unasubiri amalize kuchat??!!
Vipi ukigundua anachat na SMALL HOUSE??
inakuwaje mkeo afanye kitu kama hicho halafu wewe ukae unamchekea tu kwa nn usimweleze kuwa hupendi ili aelewe kitu gani afanye na kwa wakati gani. Ndoa za siku hizi zimevamia na dot com wanaume wanakosa sauti na maamuzi mbele za wake zao ni ujinga huo, m/ume simama kama m/ume daima na komesha ushenzi kama huo mapema kwenye ndoa achana na ushauri wa wewe pia kuchukua simu na kuanza kuchat
inachotakiwa ni kila unapokuwepo m/ume na m/mke atambue anatakiwa kufanya nn mbele yako na vice versa kwa m/mke kwa m/ume
ahaaa ukigundua hilo nawe unavaa viatu..
mwambie aendelee kuongea mpaka asubuhi maana we utachelewa sana kurudi..
mwambie unaondoka usiseme unaenda wapi we sema tu ni emergence lol...
Y one side?mkuki kwa nguruwe..........wat if mmelala simu ya mmeo ikalia akai mute?msituonee mostly twafanya hivyo sometymz kuchek kama mtu ataboreka ukizingatia na yeye may be anafanyaga hivyo...........muache ku mute simu zenu mkipigiwa me nauita huo ushamba coz i blv kama mjanja ukipigiwa unaweza ongea na mtu asielewe kama unaongea na nani......eti upo na mkeo au mmeo unapigiwa simu unasema sorry will call u leta nipo sehemu mbaya duh mumeo/mkeo sehemu mbaya?
Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu
Je wengine mnafanya hivyo au ni marufuku kupokea au kusearch chochote au akusomee message zilizo ingia?

Wewe umeshasema simu "yako" then mkeo asome mesage zako? Za nini?? Hata kama ni biashara yeye inahusu nini?? Ndio maana ikaitwa simu ya mkononi maana yake wewe muhusika tu ndo unaweza kuitumia wakati wowote na muda wowote mwingine haruhusiwi.
Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu
Je wengine mnafanya hivyo au ni marufuku kupokea au kusearch chochote au akusomee message zilizo ingia?
Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu
Je wengine mnafanya hivyo au ni marufuku kupokea au kusearch chochote au akusomee message zilizo ingia?
Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu
Je wengine mnafanya hivyo au ni marufuku kupokea au kusearch chochote au akusomee message zilizo ingia?
Hizo landline huwezi kwenda nazo chooni? Zenyewe haziingizi msg? Unaongelea simu za miaka ipi?Sio kosa ila ni privacy........mobile phones they are mobile thats why hata chooni unaweza kwenda nayo... na mtu akipiga au akituma message utakuta missed call..... hiyo sio landline ambayo ni public......
hata mimi nashangaa, sijui watu wengine wakoje?Mie bwana nashangaa kwanini mkeo asipokee simu zako ukiwa haupo karibu nayo labda unaoga au kwa chochote sasa kama kwa sisi wenye mipango inayokwenda na muda itakuwaje wengi ninaofanyanao biashara ni wanawake kwa aina ya business yangu