Matumizi ya PADS kwa wanawake, swali kwa pande zote

To me she will always be my Queen at my service haijarishi yuko na hali gani.
Napenda nimvalishe mwenyewe in fact na kumsafisha kabisa!to me it is a pleasure kufanya hivyo!
 
To me she will always my Queen at my service haijarishi yuko katika mazingira gani.
Napenda nimvalishe mwenyewe in fact na kumsafisha kabisa!to me it is a pleasure kufanya hivy!
Gilo, hebu tufahamishe kwanza jinsi yako
 
Last edited by a moderator:
Utoto raha sana. Hebu mfikie Dark City na Asprin na ndoa zao za mwaka 47 wamepitia mangapi? Tena wanawake tunavyokuwa na shida nyingi, na maisha ya kisasa ya kuishi wenyewe. Kuna siku mwanaume anajikuta ndo inabidi akutolee pedi chafu, akuogeshe na akuvike safi. Na ahakikishe anakulisha. Ndo maana kuna ndoa ngumu watu hawaondoki. Manake kumpata mwenye utu ni kazi sana aisee.

Kuna m'baba aliniambia mkewe akiwa kwenye siku hataki hata amguse mkono. Na anatamani amfukuze kitandani kha!
 
Last edited by a moderator:
sioni kama kunashida pia humsaidia kumvalisha na kutupa zilizotumika, pia hupenda avae masaa mawili na kubadisha. hapo humkumbusha mwenyewe, naponda shopping pia huzinunua mwenyewe za kutosha. najisikia fahari kuwa na mke anaye nipenda pia nampenda. asante mungu.
 
waoh!thats a really gentleman,Upendo wenu ukue na kuzidi!
 
Gilo, hebu tufahamishe kwanza jinsi yako

aisee!gilo=Gilonimo ,ndilo jina niliamua kutumia katka jf,baada ya muda niligundua kwamba limeleta confusion kwa watu,so far niko katika mchakato wa kulibadili though sijafanikiwa sana madame,my sex is male,
sorry kwa incoviniences!
 
Last edited by a moderator:
Utoto raha sana. Hebu mfikie Dark City na Asprin na ndoa zao za mwaka 47 wamepitia mangapi? Tena wanawake tunavyokuwa na shida nyingi, na maisha ya kisasa ya kuishi wenyewe. Kuna siku mwanaume anajikuta ndo inabidi akutolee pedi chafu, akuogeshe na akuvike safi. Na ahakikishe anakulisha. Ndo maana kuna ndoa ngumu watu hawaondoki. Manake kumpata mwenye utu ni kazi sana aisee.

Kuna m'baba aliniambia mkewe akiwa kwenye siku hataki hata amguse mkono. Na anatamani amfukuze kitandani kha!

Ndoto siku zote zinaweza kuwa tamu au chungu ila radha ya ukweli inabaki kuwa ile ile, haina fantasy.

Kwa mtu ambaye bado hajaishi na mwenzi wake, akayaona maisha katika taabu na raha, ugonjwa na afya, kero na utamu, lazima mambo kama haya yatamsumbua kichwani.

With time reality inatawala na unaona raha kufanya vitu ambavyo hukuwahi hata ku-imagine.

Babu DC!
 
Haitakiw mume/mpenzi aone,maana wengine wana kinyaa na anaweza asinyonye k kabisa,au kumwambia kila mara nipo bleed haipendez mwambie iwapo anaomba kitu raha yake
Labda wakati unaivaa maana inakuwa safi lakin chafu mim mwenyewe naona kinyaa na ni yangu mwenyewe
Naona mkaidi wewe, nimekukataza hutaki sikia. UTI itakuumiza acha hizo, halafu ni udhalilishaji wa midume. Kama hutaki unyanyasaji wa kiume, nawe acha unyanyasaji wa kike.
 
hebu toa utoto hapa,mkeo si mtu wakawaida naikitokea anaumwa na ndo wawil hata ajiwez siutamsitir acha utoto hamna kinyaa kwa mkeo labda upendo wakiun
 
Back
Top Bottom