Matumizi ya PADS kwa wanawake, swali kwa pande zote


U

UTAYAPENDA MAISHA

Member
Joined
Nov 18, 2013
Messages
18
Likes
0
Points
0
Age
38
U

UTAYAPENDA MAISHA

Member
Joined Nov 18, 2013
18 0 0
Wana MMU Salama ? Ni wazi na jambo la kawaida kuwa mwanamke anatumia Pads kila wakati unapobidi.

Swali kwa wanaume je inapotokea au ikitokea unakutana na Pad iliyotumika kabla ya kutupwa ikiwa na uchafu wake UNAJISIKIAJE ? au unamkutiliza mpenzi/mke wako akiitoa huko au anapachika nyingine unajisikiaje ? ?

Swali kwa wanawake je mpenzi/mumeo akiikuta hiyo pad yako na uchafu umejaa UNAJISIKIAJE ? AU akukutilize uaipachika mpya au ndio unaitoa pana mashaka yeyote kwenu ? ?
 
tototundu 1

tototundu 1

Senior Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
139
Likes
5
Points
35
tototundu 1

tototundu 1

Senior Member
Joined Mar 8, 2013
139 5 35
Hayo mambo ya kawaida tu inategemea na wee mwenyewe unavyochukulia hiyo kitu
 
B

Broken soul

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Messages
463
Likes
6
Points
0
B

Broken soul

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2013
463 6 0
Kukoswa kazi huku, mmekosa vya kujadili
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
21,513
Likes
15,685
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
21,513 15,685 280
Ukipenda na kukubali kuishi na mwanamke, ukubali kuona akivaa/akipachika na kuvua/kupachua, lol...
Kwenda mwezini ndo kunamfanya aitwe mwanamke.. big up kwa wanawake wote..
 
Evarm

Evarm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
1,554
Likes
238
Points
160
Evarm

Evarm

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2010
1,554 238 160
Hiyo chafu hawezi iona hata mara moja. Naenda kuvulia chooni na kuihifadhi mahali pake mua huohuo! :tape:
 
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
2,415
Likes
28
Points
135
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
2,415 28 135
eeh! haya wee!!:tape:
 
Wapoti

Wapoti

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
2,820
Likes
430
Points
180
Wapoti

Wapoti

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
2,820 430 180
Hayo ni mambo ya kawaida tu na utakutana nayo sana
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
23,192
Likes
6,356
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
23,192 6,356 280
Akishaniambia yupo kwa day zake, sitapenda kuhakikisha hata kama ni gf.
 
Lady.A

Lady.A

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Messages
383
Likes
20
Points
35
Lady.A

Lady.A

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2013
383 20 35
kila mtu na namna yake, wengine hawapendi na wengine wanaona sawa.
alaf, kwani cha ajabu ni nn wakati nyie ni mwili mmoja?
 
tofali

tofali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
3,998
Likes
2,143
Points
280
Age
33
tofali

tofali

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
3,998 2,143 280
How older r u.??? Nahisi bado uko high school..kwa watu wazima n jambo la kawaida...unless wewe n padre
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,356
Likes
2,638
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,356 2,638 280
Hili jukwaa siku hizi limekosa adabu kabisa, humu kuna watoto wengi sana humu, mbona sisi tunawanunuliaga wenyewe wake zetu? Tena hua wanabadiri mbele zetu pia! Ukisha oa utajua tu hili we dogo!
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
15,707
Likes
14,108
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
15,707 14,108 280
Aisee mbona mnatuchimba sana?
 
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
694
Likes
8
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
694 8 0
Swali lako mzigo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,724
Likes
3,407
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,724 3,407 280
Swali kwa wanaume je inapotokea au ikitokea unakutana na Pad iliyotumika kabla ya kutupwa ikiwa na uchafu wake UNAJISIKIAJE ?

Swali kwa wanawake je mpenzi/mumeo akiikuta hiyo pad yako na uchafu umejaa UNAJISIKIAJE ?
Hivi wewe kijana ni nani aliyekuambia kuwa DAMU ya HEDHI ni uchafu?

Kuwa mstaarabu bwana mdogo, alaaah!!!
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Haitakiw mume/mpenzi aone,maana wengine wana kinyaa na anaweza asinyonye k kabisa,au kumwambia kila mara nipo bleed haipendez mwambie iwapo anaomba kitu raha yake
Labda wakati unaivaa maana inakuwa safi lakin chafu mim mwenyewe naona kinyaa na ni yangu mwenyewe
 
MamaBeata

MamaBeata

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
325
Likes
20
Points
35
MamaBeata

MamaBeata

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
325 20 35
Hmm inategemea mtu na mtu. Mimi mume wangu huwa hapendi hata kushughulika na mi niwapo mwezini. Ila rafiki zangu wengine wanavalishiwa kwenye chupi na waume zao. Ikitokea akaona iliotumika sidhani kama vibaya kwani ndio uanamke ila wanawake tujitahidi kuficha ili mume asione tujisitiri.
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,429
Likes
6,386
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,429 6,386 280
Kwa kawaida kila anapoenda kuoga mm ndo namuwekea pad na hata kutoa pia pale ninapokua nae hapa home sikumbuki ln aliwahi kununua ila naona kawaida...siamini km kuna mtu atakua anajickia vby km wapo wachache.
 
thehunk

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
518
Likes
79
Points
45
thehunk

thehunk

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2011
518 79 45
inategemea na mtu....kama kunyonya k.u.ma tu wengine wanependa na wengine wanaona kinyaa cha msingi ni kujua mwenzako ni yup kati ya hao
 

Forum statistics

Threads 1,252,124
Members 482,015
Posts 29,796,953