UTAYAPENDA MAISHA
Member
- Nov 18, 2013
- 18
- 0
Swali kwa wanaume je inapotokea au ikitokea unakutana na Pad iliyotumika kabla ya kutupwa ikiwa na uchafu wake UNAJISIKIAJE ?
Swali kwa wanawake je mpenzi/mumeo akiikuta hiyo pad yako na uchafu umejaa UNAJISIKIAJE ?