Matumizi ya PADS kwa wanawake, swali kwa pande zote

Nov 18, 2013
18
0
Wana MMU Salama ? Ni wazi na jambo la kawaida kuwa mwanamke anatumia Pads kila wakati unapobidi.

Swali kwa wanaume je inapotokea au ikitokea unakutana na Pad iliyotumika kabla ya kutupwa ikiwa na uchafu wake UNAJISIKIAJE ? au unamkutiliza mpenzi/mke wako akiitoa huko au anapachika nyingine unajisikiaje ? ?

Swali kwa wanawake je mpenzi/mumeo akiikuta hiyo pad yako na uchafu umejaa UNAJISIKIAJE ? AU akukutilize uaipachika mpya au ndio unaitoa pana mashaka yeyote kwenu ? ?
 
kila mtu na namna yake, wengine hawapendi na wengine wanaona sawa.
alaf, kwani cha ajabu ni nn wakati nyie ni mwili mmoja?
 
How older r u.??? Nahisi bado uko high school..kwa watu wazima n jambo la kawaida...unless wewe n padre
 
Hili jukwaa siku hizi limekosa adabu kabisa, humu kuna watoto wengi sana humu, mbona sisi tunawanunuliaga wenyewe wake zetu? Tena hua wanabadiri mbele zetu pia! Ukisha oa utajua tu hili we dogo!
 
Swali kwa wanaume je inapotokea au ikitokea unakutana na Pad iliyotumika kabla ya kutupwa ikiwa na uchafu wake UNAJISIKIAJE ?

Swali kwa wanawake je mpenzi/mumeo akiikuta hiyo pad yako na uchafu umejaa UNAJISIKIAJE ?

Hivi wewe kijana ni nani aliyekuambia kuwa DAMU ya HEDHI ni uchafu?

Kuwa mstaarabu bwana mdogo, alaaah!!!
 
Haitakiw mume/mpenzi aone,maana wengine wana kinyaa na anaweza asinyonye k kabisa,au kumwambia kila mara nipo bleed haipendez mwambie iwapo anaomba kitu raha yake
Labda wakati unaivaa maana inakuwa safi lakin chafu mim mwenyewe naona kinyaa na ni yangu mwenyewe
 
Hmm inategemea mtu na mtu. Mimi mume wangu huwa hapendi hata kushughulika na mi niwapo mwezini. Ila rafiki zangu wengine wanavalishiwa kwenye chupi na waume zao. Ikitokea akaona iliotumika sidhani kama vibaya kwani ndio uanamke ila wanawake tujitahidi kuficha ili mume asione tujisitiri.
 
Kwa kawaida kila anapoenda kuoga mm ndo namuwekea pad na hata kutoa pia pale ninapokua nae hapa home sikumbuki ln aliwahi kununua ila naona kawaida...siamini km kuna mtu atakua anajickia vby km wapo wachache.
 
inategemea na mtu....kama kunyonya k.u.ma tu wengine wanependa na wengine wanaona kinyaa cha msingi ni kujua mwenzako ni yup kati ya hao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom