UTAYAPENDA MAISHA
Member
- Nov 18, 2013
- 18
- 0
Wana MMU Salama ? Ni wazi na jambo la kawaida kuwa mwanamke anatumia Pads kila wakati unapobidi.
Swali kwa wanaume je inapotokea au ikitokea unakutana na Pad iliyotumika kabla ya kutupwa ikiwa na uchafu wake UNAJISIKIAJE ? au unamkutiliza mpenzi/mke wako akiitoa huko au anapachika nyingine unajisikiaje ? ?
Swali kwa wanawake je mpenzi/mumeo akiikuta hiyo pad yako na uchafu umejaa UNAJISIKIAJE ? AU akukutilize uaipachika mpya au ndio unaitoa pana mashaka yeyote kwenu ? ?