Matumizi ya Nguvu kubwa ya Polisi na ukimya wa waandishi.

godn80

New Member
Apr 30, 2012
3
0
Baada ya ripoti kutolewa kuhusiana na mauaji ya mwandishi Mwangosi yaliyofanywa na Jeshi la Polisi huko Iringa Watanzania tumejifunza nini ?
Pamoja na hayo kwakuwa Mwangosi alikuwa mwandishi wa habari kifo chake kilipelekea wanaharakati wengi kupiga kelele na hatimaye tume kuundwa na ukweli umepatikana vivyo hivyo na waandishi waliweza kuandamana.

Nadhani kabla ya kifo cha Mpendwa wetu Mwangosi pale mkoani Morogoro kulitokea mauaji yenye utata hivyo hivyo kupelekea kijana mmoja aliyekuwa katika magazeti pale kona ya msamvu kuuwawa na watu wanaosadikiwa kuwa ni Polisi, lakini mauaji yale hakuna mwanaharakati yeyote maarufu aliyepiga kelele kupinga kwa nguvu mauaji yale, na hapo basi si muda mrefu takribani wiki yakatokea hayo hayo Mkoani Iringa na ndipo wanaharakati na waandishi mbali mbali wakaanza kupiga kelele.

Wadau nawauliza je mpaka afe mtu maarufu ndio uchunguzi unastahiri kufanywa ? na sisi wanyonge tutapigiwa kelele na nani na nani atatetea haki zetu za msingi ? Nawaomba waandishi wa habari msiwe mnaficha maovu kwa kuwatetea wakubwa au kumlinda mtu fulani au kuitetea serikali, kwenye ukweli na uwazi mseme kwa sauti kubwa kama mlivyofanya kwa Mwangosi .:lol:

Waandishi mngepiga kelele mapema tokea tukio la Morogoro ya Iringa yasingetokea !
 
Baadhi ya waliopiga kelele hawa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom