Inategemea na aina ya udongo kwanza katika kichanga weka mbolea na miziz inapata urahisi wa kupenyaMkuu Tafadhari sana mimi nililima kwenye shamba lilikuwa limewekewa mbolea ya samadi kwa wingi sana na akalima mara1 nami masika yaliyofuata nikalima karanga.Ni kwamba karanga zilikubali mno zilinawili hakuna mfano na zilizaa watoto wengi sana tena wakubwa cha ajabu ni kwamba kile cha ndani(karanga yenyewe) ni kadogo mno na kanakuwa na mwonekano wa kunyauka. Ndipo nilipoambiwa karanga na viazi havihitaji mbolea sana.
Kwa upande wa Viazi majani yanaweza yakawa mengi sana juu lakini kiazi kwa ndani ukakosa ukaambulia mizizi minene ama unaweza kupata viazi oversize ukikipika kinakuwa na mji maji hakina unga na saa nyingine hakiivi
hasa.Hii ni kwa uzoefu wangu kwa kuona mwenyewe!
Toa hiyo sababuUkitumia mbolea ya madukani hakikisha unaanza na samadi Kisha urea malizia na NPK au CAN Yan kupandia, kukuzia, na kuzalishia sikushauri upandie DAP Kisha UREA ukuzie na CAN kunenepeshea Nina sababu
SuluhishoTuna shida kubwa sana ya wataalamu wa KILIMO ili kupata utaalamu wao kuhusu aina ya udongo na matumizi yake
Mara nyingi sana mazao yanakua treated tofauti kulingana na aina ya udongo
Kuna aina ya udongo ukiweka mbolea ya aina fulani shina la karanga linakua kubwa sana limemea vizuri na linaweka karanga nyingi chini tena kubwa kweli LAKINI ukiimenya karanga unakuta kakaranga kadogo kamesinyaa
Niliwahi kulima mahindi ya DK Singida sikupata vizuri kama nilivyokuja kulima tumbili
Nadhani serikali kupitia wataalamu wa kilimo wangefanya utafiti wa aridhi yote tanzania na kutupa muongozo wa kila aridhi inafaa mbegu gani na mbolea gani
Kenye wamejitahidi sana katika hili
Kimazoezi ni kweli kabisa!Mkuu Tafadhari sana mimi nililima kwenye shamba lilikuwa limewekewa mbolea ya samadi kwa wingi sana na akalima mara1 nami masika yaliyofuata nikalima karanga.Ni kwamba karanga zilikubali mno zilinawili hakuna mfano na zilizaa watoto wengi sana tena wakubwa cha ajabu ni kwamba kile cha ndani(karanga yenyewe) ni kadogo mno na kanakuwa na mwonekano wa kunyauka. Ndipo nilipoambiwa karanga na viazi havihitaji mbolea sana.
Kwa upande wa Viazi majani yanaweza yakawa mengi sana juu lakini kiazi kwa ndani ukakosa ukaambulia mizizi minene ama unaweza kupata viazi oversize ukikipika kinakuwa na mji maji hakina unga na saa nyingine hakiivi
hasa.Hii ni kwa uzoefu wangu kwa kuona mwenyewe!