Bengazuu JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 1,029 Reaction score 1,238 Jul 12, 2013 #1 wakuu naomba kufahamu jinsi ya kutumia lotion ya after shave
cabhatica JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 1,081 Reaction score 480 Jul 12, 2013 #2 JF ya siku hizi.....daah Kuna siku mtu ataomba kujulishwa jinsi ya kuvaa viatu. Aliyekufundisha kutumia simu anaweza kukusaidia katika hili. Ni ushauri tu kwahiyo usiwe mbogo kama kagame
JF ya siku hizi.....daah Kuna siku mtu ataomba kujulishwa jinsi ya kuvaa viatu. Aliyekufundisha kutumia simu anaweza kukusaidia katika hili. Ni ushauri tu kwahiyo usiwe mbogo kama kagame
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jul 12, 2013 #3 vere simpo hiyo ni 3x3.
Ukitaka Ubaya... JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 498 Reaction score 140 Jul 12, 2013 #4 Mamndenyi said: vere simpo hiyo ni 3x3. Click to expand... Mamndenyihttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=41512 habari yako?
Mamndenyi said: vere simpo hiyo ni 3x3. Click to expand... Mamndenyihttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=41512 habari yako?
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,211 Reaction score 13,053 Jul 13, 2013 #5 Bengazuu said: wakuu naomba kufahamu jinsi ya kutumia lotion ya after shave Click to expand... ndiyo kinini hiki?
Bengazuu said: wakuu naomba kufahamu jinsi ya kutumia lotion ya after shave Click to expand... ndiyo kinini hiki?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,355 Reaction score 111,637 Jul 13, 2013 #6 yaani umeshindwa hata kung'amua neno 'after shave'!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jul 13, 2013 #7 watu8 said: yaani umeshindwa hata kung'amua neno 'after shave'! Click to expand... Daddy.... lugha ngumu aisee!!!
watu8 said: yaani umeshindwa hata kung'amua neno 'after shave'! Click to expand... Daddy.... lugha ngumu aisee!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,355 Reaction score 111,637 Jul 13, 2013 #8 charminglady said: Daddy.... lugha ngumu aisee!!! Click to expand... mmh ina maana aliwezaje kujua inaitwa after shave...au kaiokota!
charminglady said: Daddy.... lugha ngumu aisee!!! Click to expand... mmh ina maana aliwezaje kujua inaitwa after shave...au kaiokota!