Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke?

ngoja aje fidel atathibitisha!
halafu:KWANINI CONDOM ZA KIKE HAZIJAUSHIKA SANA ULIMWENGU WA WADUMISHA MILA?

Kutokana na uzoefu wangu wa kumega mega mwanaume ndo mwenye maamuzi ya kuvaa au kutovaa kondom si mnakumbuka siku ya kwanza mlivyo kutana na huyo mwenzio lazima mwanaume alikuwa wa kwanza kukumbuka kondomu lakini mlivyo megana kwa round kama 6 hivi najua baadae mwanaume akaamua kutundika kondomu kwa kigezo sasa mmejuana na wewe mama/mwanamke ukakubali lakini najua ulikataa ile ya kuzuga jamaa akakwambia unamaana huniamini basi ukaamua kutatua jamaa akaendelea kucheka na nyavu mpaka kesho.
 
mimi nakufurahiaga hapo tu!SO OPEN:D:D:D
sio kama kaizer anafiiiiiiichaaaaa
 
Kutokana na uzoefu wangu wa kumega mega mwanaume ndo mwenye maamuzi ya kuvaa au kutovaa kondom si mnakumbuka siku ya kwanza mlivyo kutana na huyo mwenzio lazima mwanaume alikuwa wa kwanza kukumbuka kondomu lakini mlivyo megana kwa round kama 6 hivi najua baadae mwanaume akaamua kutundika kondomu kwa kigezo sasa mmejuana na wewe mama/mwanamke ukakubali lakini najua ulikataa ile ya kuzuga jamaa akakwambia unamaana huniamini basi ukaamua kutatua jamaa akaendelea kucheka na nyavu mpaka kesho.

Lakimi mkuu fide kwa wazungu ni kama tofauti.
Kwani wao kwenye swala hili mwanamke ndo anamaamuzi.
Kutokana na uzoefu wako hujawahi kummega mzungu?
Bila shaka uliwahi mzee wa uzoefu.
Tueleze si ni yeye alikuwa na maamuzi katika kuvaa au kutovaa?
 
Hehehehe mkuu hii ni uzoefu wa kumega wamatumbi hao wazungu sina uzoefu nao kuna jamaa zangu wanao wafaidi nasikia wanawake huwa wanakuja na kondomu zao toka ulaya na kwingineko za kibongo hizi hawaziamini kabisa. Kwa hiyo mkuu wazungu bana mm sina uzoefu nao kabisa.
 
wachina?:D:D:D
 
kuna mabinti huko SEKONDARI(mimi ni mwalimu wa sekondari jamani)......!wanaogopa MIMBA KULIKO UKIMWI.kwa hiyo kijana akimhakikishia tu kwamba atatumia WITHDRAWAL METHOD...!mtu anakula kitu kitamu

Hapo sasa Geoff umepiga ikulu........!!! Hiyo ni kweli, ila sio wanafunzi tu, hata wasio wanafunzi! :)
 
mie najua jina la SHE, na mi nilikuwa na meti wangu wa kike ana hilo jina

Bigrita sio Girgita
kuweka rekodi sawa kwa wapwa, na kwa heshima ya wapishi na watunza maua wa shule alosoma Geof.
 
Off Topic Birigita kwani wewe ni mwanamme au mwanamke jina la kike maandishi kama ya kiume vile :confused:;)

Bigirita
user_online.gif

Bigirita is not in love
JF Senior Expert Member

Jamani mbona mnasoma vibaya jina la mwenzenu? Hebu angalia jina lake kwenye profile yake na jinsi ambavyo wengi mnalisoma kama alivyoandiaka FL1. In fact hata mimi mwanzoni nilikuwa nalisoma kama alivyoandika FL1 hapo juu, nikaja kushtuka baadaye!
 
Hapo sasa Geoff umepiga ikulu........!!! Hiyo ni kweli, ila sio wanafunzi tu, hata watu wasio wanafunzi! :)
hehehe!hapa masaki nikisoma katikati ya mistari NINAONA UZOEFU WA HALI YA JUU:D:D
 
Hehehehe mkuu hii ni uzoefu wa kumega wamatumbi hao wazungu sina uzoefu nao kuna jamaa zangu wanao wafaidi nasikia wanawake huwa wanakuja na kondomu zao toka ulaya na kwingineko za kibongo hizi hawaziamini kabisa. Kwa hiyo mkuu wazungu bana mm sina uzoefu nao kabisa.

Da! hata hivyo wewe ni kiboko.
Lakini angalau umenipa jibu kwa kupitia kwa jamaa zako
na nimeprove kuwa kwa wazungu linapokuja swala kutumia au kutotumia condom uamuzi ni wa mwanamke tofauti na sisi wamatumbi.
Asante sana Fide ila ntakutafuta unipigie pindi kuhusu tofauti ya mwanamke wa kimatumbi mwembamba na mnene katika majamboz.
 
Hahahahaha dah umenikumbusha mbaaaaaaali sana hawa bana usafi kwenye Ikulu ni F nilipima oil kidole kilinuka siku nzima hata kula sikula kabisa. Hawa bana ni kama wamatumbi tu siku ya kwanza utatumia ukipiga round kama 5 unatundika.
 
Wazungu msiwasifie sana kwa kuwa hamjui wanapokuwa wenyewe kwa wenyewe ni nani ana maamuzi! Kwa kuwa Afrika inasifika kwa UKIMWI, hata ningekuwa mimi ningekuja na kondomu zangu mwenyewe na ningehahakisha zinatumika!

Halafu mpaka mwanamke wa mzungu abebe kondomu toka nazo Ulaya kuja Afrika, lazima anajijua kwamba ni mdhaifu na pengine anakuwa amepania kabisa kuonjana na Mwafrika ambaye automatically atakuwa ni stranger kwake! Kwa hiyo suala la kondumu hapo haliepukiki.
 
wale wa pale nanihii karibu na aga khan?
hahaha!nduguyo ni MUBAYA KWELI HUYU!huyu MULENGE HAFAI KABISA,angalia hapa:

Hahahahaha dah umenikumbusha mbaaaaaaali sana hawa bana usafi kwenye Ikulu ni F nilipima oil kidole kilinuka siku nzima hata kula sikula kabisa. Hawa bana ni kama wamatumbi tu siku ya kwanza utatumia ukipiga round kama 5 unatundika.
dah!tunaiita INTERNAZIONALE EXPERIENCE:)
 
Back
Top Bottom