Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke?

Kuna ukweli kwenye yote yaliyoongelewa! She wengi wanasemaga vyovyote pouwa kwenye kutumia au kutotumia! Wengine hata hawaulizi
 
Tupe siri ya mafanikio yako jemadari maana unaweza kuwa suluhu ya watu wengine
Hooo mkuu mim nilikua n mwanachama mzuri nilipo kua shule ya bweni! Lakini kitu kilicho nisaidia ni sport! napiga basketball evry day jioni na najikuta nimesahau Nye*o mwaka w pili huu
 
Kuna demu mmoja wakati wa kugegedana nilipoichomoa tu kondomu aliitupa chini ya uvungu huyu hata kuiona hakutaka.
Niliyenaye sasa hv yeye huwa lazma anikumbushe ndomu bila ndomu sipigi game, lakini kati kati ya game huwa naichomoa na kupiga kavu na huwa hajui kama nimeichomoa.
Nilichokuja kugundua ni kwamba wanawake wengi hawapend kondomu na akikuambia utumie kondomu ujue yupo siku za hatari. Mim binafsi sizpend pia kwan kila niktumia huwa naharisha na sijui ni kwa sababu gani..
Hapo kwenye kuharisha umeleta chai tu wala hamna lolote.
 
Kuna ukweli kwenye yote yaliyoongelewa! She wengi wanasemaga vyovyote pouwa kwenye kutumia au kutotumia! Wengine hata hawaulizi
Kwanini usubiri kuulizwa? We vaa kuwa responsible, mbona kila kitu mnapenda kuwasingizia wanawake as if nyie hampati madhara yoyote?
 
Mara nyingi mwanaume ukiwa faragha na girlfriend/mke wa mtu/mchepuko uamuzi ni wako kuvaa au kutovaa kondom.

Hawa wasichana walio wengi hawana mda wa kumkumbusha mwanaume avae ndom na anaekumbusha hayuko serious,ukimkomalia unafanya nae mapenzi bila kondom.

Halafu tendo likiisha unakuta mwanaume mawazo kibao na mwenzie hana hata wasawasi, hivi hii ni makusudi au mzuka wa tendo unakua mkubwa mpaka hatukumbushani?

Wadau hembu tuone experience zenu isije ikawa ni mimi tu.
Avae ya nini? Kwanza mnavaa ili iweje. Kama mtu humuamini, kwani lazima mfanye ngono. Mm huwa nafanya ngono na ninao waamini na wao wananiamini
 
UBORA WA CONDOM NDIO TATIZOKUNWA LINALOWAUA WANAUME

KUNA SABABU MBALIMBALI ZINAZOFANYA CONDOM ISITUMIKE
1))WANAWAKE WENGI WENYENYUCHI NDOGO WAMEKUWA WAKITESWA NA UTI WANAPOTUMIA XONDOM..HII HUWAFANYA KUWA WAZI NA SIO HAPO HATA MKAPIME KABLA ILIHALI ATAKI MCHIBUKO WANCONDOM
2)KUNAWALE WANAINHIA MDANI KABISA WANAIMANI WANAVUA LAKINI KOSA WANALOFANYA N WADHAIFU HILI TEMBELEA GUEST WAKWAMBIE WENGI WANANUNUA SALAMA END AWAZITUMII..NINI SHIDA..UDHAIFU UNAUKAMATA MOYO PALE UMADHAMIRA KABISA YAKUUSE CONDOM MWANAMKE ANAPOWAHI TU KUVUA UKIONA YALE MATAKOS AMA WEUOE UNASIKIA WEHU AKILIZAJUU ZINAHAMIA CHINI UNAJIKUTA USHAKOJOA ALAFU UNAENDA KUVAA COMDOM BAOLAPILI..HUI N WEHU


3))HAWA N WAUWAJI.....HAWA WANAUWEZO WAKUKUSHAWISHI KWA UDI NA UVUMBA MWISHO UKOJOE PEKU AKIUNGIZE KWENYE LIST YA MAREHEMU WATARAJIWA....WENGI WAMEAIBIKA NA HII

4)WALEVI..HAWA UNAKUTA KABLA YA KUNYWA ANADHAMIRA NJEMA KABISA ANYWE AVAECONDOM AKAPIGE KUTOKANA NA KUONGEZA KIWANGO ANAKUTA HATA CHUMBANI MWANAMKE NDIE ANAMVUA NGUO NA WENGI AWAPONI KWA KUIBIWA NA HATA KUZALILISHWA ....

5))@@@HAWA N WALE WANAOKUTANA WANA NIA YA KUUANA WOTE WAWILI..HAPOJUU NILIONGELEA MMOJA ILA HAWA UNAKUTA AMEKUNYWA MWANAUME ANADHAMIRA YA KUMUUA MWANAMKE NA MWANAME
 
MWANAMKE ANADHAMIRA YAKUMUUA MWANAMKE HAPO HAKUNA SWALA LA CONDOM...KABISAA..

SHIDA NYINGINE N HAWA EANAOKUFA KILA SIKU..HAWA WAKIONJA TU WANACHOFATA WANATAKA CONDOM..KUNDI HILI N LA WANANDOA WENGI NA HUISHIA KWENDA KUUAWENZA NA KUISHIA RIP...
 
wanawake kwenye condom ni kama hawazipendi..

cha kushangaza hawanaga wasi wasi kabisa..

hata kupima hawaogopi wala nini..

wao wakishasisimka huko chini hawawezi hata kujali afya zao zaidi ya kutaka game tu iwe kavu kavu iwe kwa zana wao poa tu.. kazi ni kwako
Na hii ndio imesababisha ukienda kwenye kliniki za kuchukua ARVs katika nchi nzima almost 80% ni wanawake.Inasikitisha sana poteza muda siku ndugu upite kwenye hizo clinic ndio utajua hali ikoje wanawake ndio wahanga wakubwa kuna haja ya kufanyika juhudi binafsi ili kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom